Mwana keshaota mziz ya UFISADI kama babaye! Jaman tusipo kuwa makini tutakuja kuishi maisha ya mashaka kipind kijacho kutoka na gap la waliyo nazo na wasiokuwa nazo. Imagine RAIS NA FAMILIA yake wanakuwa na mali na mirad ya mamilion achilia mbal marafik, majiran na wengne wanao muhusu! We need...
Yan duh! Lazima mdogo wangu aogope!!! Mbata mzinga mkubwa ka nyumba alafu tutoto tudogo jamani?! Alafu BATA lenyewe "ZINGA DUME" tutoto "TUSICHANA" mnatakaje ka si kutufunza UOGA WATANZANIA wenzio jamani?
Enz ze2 matokeo had yapelekwe mashulen 2liposemea ndo 2kayaone au 2kaulize kwa afisa elimu wa mkoa yan acha m2 2likuwa 2naish na pesha hata mwez mzma hujui matokeo na yametangazwa tayar
Cku moja 2metoroka skul nakumbuka ilikuwa kipind matokeo ya form 4 yametoka so 2kawa 2mefika sanawar pale kwa muuza magazet 2nayachek mara ghafla 2naskia saut ya mr. Nkini wakat huo ndo master yan 2liishiwa poz! Mara master akauliza, "vp mbona mpo huku saa tano hii asubuh muda wa masomo?"...
Kuna kashimo ka taka kalikuwepo maeneo ya njia ya kwenda toilet kwa wasichana nakumbuka tulikachimbaga sana kama adhabu ya mr. Temu. Dah nakumbuka wik nzima hatuonja darasa twachimba shimo la taka kila mhe. akija anasema bado!
Mm nakumbuka sana class of 99 to 2001 akina LEAH GINWAS, KATO, EMMA MWENERA, KASH JOSEPH,SUZANE SHAYO, JONATHAN SAMWEL, GEOFREY, NISHA MWICHANDE, JEREMIAH, TUMAIN, NA WENGNE WENGI staff, MSHANGA, TEMU, MASAKI, NDASKOI, MALAMSHA, MWASON B NA M, SAKINOI, NKIN NK
Kiukweli tuna machungu sana na awamu ya nne hasa sie vijana. Mhe. wetu wa awamu ya nne alituharibia sana watu wangu. Aliingia kwa mikwara ya kutudanganya atazalisha ajira kibao hususani kwetu sisi vijana matokeo yake si ndo tunayaona leo twamaliza vyuo twaranda randa mitaani kutafuta kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.