anakaza shibgo sana...
aniulize niliacha kazi kisa kamtaji kamenona siku nimeshaacha tu na kurudi kwenye kibarua changu mwezi mrefu mbona,,,,,,, aisee ilifika ndani ya biashara yangu nakaaa mpk unasinzia nzi ndo rafiki zangu,,, kurudi haiwezekani kuhama eneo haiwezekani hapo nilishalipia kodi...
We jeurika na hako ka biznes utakuja kutamani kufuta koment humu.
Hayo ni maisha yao na siri ya mafanikio katu akuna ataekuambia vyote zaid utaambiwa juujuu tu ili uzoleke km mzoga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.