Search results

  1. I

    Hao ndio wakamavu wetu

    hahaaaa! aibu kweli, ah.
  2. I

    Miss Kilimanjaro PRISKA

    hivi hizi picha ni kwa ajili ya watu flan kwamba wengine tupo blocked from access au!! maa me hua sioni picha katika threads zako bwana/bi mfunyukuzi.
  3. I

    Kutana na staa wa 'Maisha Plus' Efrancyah

    ringo hiyo picha ikowap me mbona siionii?
  4. I

    Kutana na staa wa 'Maisha Plus' Efrancyah

    me nimeshindwa kuona picha, jamani nisaidieni nifanyeje!!
  5. I

    Elections 2010 Siri kifo cha Mkemia mkuu wa serikali...

    Wandugu, niwieni radhi jamani, me naomba kujua hili suala, hivi kilichokua behind kifo cha mkemia mkuu ni nini? Poleni kwa kutokwa na mchapakaz wetu.
  6. I

    Elections 2010 Unyumba wa Dk. Slaa wamfanya Benno Malisa wa UVCCM kuzomewa Geita

    "F malisa" hivi si watumie hata historia ku analyse mambo, hivi unyumba wa mandela ulikuaje?, hivi wa2 kama kina bill klinton na kashfa zao za mahouse girl ziliathiri vipi utendaji wao?, hivi zuma anao wanawake wangapi hadi wengine anasaidiwa na walinzi, lini ameharibu kwa sababu hiyo?, Hivi...
  7. I

    Ahadi katika kampeni

    Jamani nimelazimika kuandika haya baada ya kufutlia ahadi za wagombea nyazifa mbalimbli katk uchaguzi ujao. Nilichogundua ni kua bado wananchi wengi wengi haswa wa maeneo ya vijijini hawajui nin maana ya ahadi. Mfao kuna jimbo moja lina barabara ya vumbi tupu toka miaka ya uhuru, lakini kila...
  8. I

    Ja yale mauaji yaliyofanyika Zanzibar???

    bro unajua jeshi linamsalute amrijeshi mkuu, af pia hata jeshi lina kashfa(kumbuka ishu ya meremeta, so inabidi hapa lisapot atlist kipropaganda ili chama cha amri jeshi wa sasa kishinde na wao wazidi kua pema. manake kama sivyo sasa kikiingia chama CHA DAKTARI SLAA si watawajibishwa!
  9. I

    CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

    asa kama huu sio wehu, we njiwa ni maendeleo gani unayodumisha ndani ya ccm? hvi watu kama niny mnafanya hvyo mnavyofana kwa utashi wa akili zenu au mmelogwa? aukuna external forces?
  10. I

    CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

    me naitaka kutandikia sehem ya mbwa wangu kulala bandani kwake.
  11. I

    Mrembo amependeza sana

    Halaf huyu si nani hii! he?
  12. I

    Miss Bantu aka TIpwa Tipwaz

    sasa me mbona sioni picha?
Back
Top Bottom