Search results

  1. SEMARK2020

    Hivi hii nauli ya daladala ya Tsh 200 kwa Mwanafunzi ni kwa siku za week Pekee au napia siku za weekend?

    Juma pili ya leo nimepanda Daladala T784 DJQ kwa usajili number S108078G kwa Safari ya Makumbusho to G/mboto (kwa mujibu wa tickets). Safari yangu ikianzia Mwenge kwenda G/mboto . Muda mchache kupita nikiwa ndani ya daladala Yakaanza mabishano Kati ya Konda na mzazi alie tokea Kanisani...
  2. SEMARK2020

    Dumila ni mji unaokuwa kwa Kasi sana!!

    Yeah hongera kwa Kuliona hilo mkuu! Naomba niongee! Dumila ndio itakuwa njiapanda mpya ya kwenda Iringa muda si mrefu tukielekea kusitisha barabara kuu inayopitia Mbuga ya Mikumi kutokea Moro kwenda Iringa na mbeya pia Dumila iliyo ndani ya Wilaya ya Kilosa ina maeneo mazuri ya kilimo kama...
  3. SEMARK2020

    Njia 8 za kupata ajira popote hata bila cheti (part 1.5 aka ufafanuzi)

    Waooo nimeisoma hii mpaka nimesikia kushiba! Kutoka moyoni " thank you sana bro..[emoji1317]
  4. SEMARK2020

    Account instagram

    Ipo ya 54k naitaji laki 2
  5. SEMARK2020

    Ni kweli asali ikimwagiwa kwenye dushe halisimami?

    Hahahaaaa haina ukweli wowote maana hakuna ushahidi wa Kisayansi ! Pia babu Yangu enzi za ujana wake alikuwa mlinaji asali Mashuhuri na moja ya njia walizotumia kulina Asali miaka hiyo tena mchana kweupe ili asing'atwe na nyuki alikuwa anavua nguo zote na kuchukua asali ya ziada iliyo ndani...
  6. SEMARK2020

    Wauza smartphone tukutane hapa

    DSM Ilala
  7. SEMARK2020

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hapana mkuu
  8. SEMARK2020

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 5 inauzwa 250 tu ! Nicheki PM
  9. SEMARK2020

    Nahitaji mtu anayeuza smartphone

    Lete 250 nikuuzie IPhone 5 ! Tumia simu za kijanja wew ! Ni PM Kama unaitaji
  10. SEMARK2020

    Nahitaji mtu anayeuza smartphone

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. SEMARK2020

    Rais Magufuli apiga tena simu Clouds, amsifu Diamond na kusema atashughulikia kero za wasanii

    Itakuwa kwasasabu ya Bashite hayaja zungumziwa Clouds fm ! Kazi ipo
  12. SEMARK2020

    Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

    Mtoto mzur Jojo! Daaah hii Couple ya kiba na huyu manzi ni moja ya Match nilizo zitamani ziendelee daima! Kiba hapa amepoteza mtu ambae alikuwa anamfaa sana . Namshauri jojo afanye mambo yake tu kwa sasa huku kulilia penzi waziwazi kutazidi kumshusha hadhi yake
  13. SEMARK2020

    Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    [emoji23][emoji23]
  14. SEMARK2020

    Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    Yes wew genius mkuu! Baada ya hapo hawezi kkuuliza tena mpaka a day mna meet face to face huwa ndio inakuwa hivyo! Na siku mkikutana akirudia swali hilo wala usimjibu muangalia machoni kwa sekunde 5 mpaka 10 bila kuongea chochote wala kupepesa macho then mjibu hivi ! Call her name like...
  15. SEMARK2020

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Acha kutumia nguvu kubwa sana kujitetea kwa hoja nyembamba ! Nichambulie hiyo philosophy yako ili utetee hoja yako Acha kuniletea vitu nusunusu
Back
Top Bottom