Search results

  1. K

    Elections 2010 Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza

    mnajua kuwa Halima mdee ambaye ni mbunge wa Chadema ni muasisi wa Taasisi hii? iko Mikocheni.imeundwa mwaka jana.hivyo basi kuna Conflict of Interest. Halima ametumia Influence yake kumjenga kisiasa Bosi wake.mimi siamini matokeo haya.
  2. K

    Elections 2010 Utafiti wa TCIB: Dk. Slaa aongoza

    hii taasisi iliyosimamia zoezi Hili inaundwa na kina halima Mdee ambaye ni mbunge wa Chadema na ina mwaka mmoja tu.kuna conflict of Interest.
  3. K

    Raia Mwema na JamiiForums wanapotosha?

    Magazeti ya jana alhamisi yamechambua sana kura za maoni za jamii Forums.
  4. K

    Elections 2010 Msomaji raia wa raia mwema analipwa na slaa?

    Raia Mwema - Muungwana ni Vitendo tizama matoleo ya wiki hii na wiki iliyopita
  5. K

    Elections 2010 Msomaji raia wa raia mwema analipwa na slaa?

    Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na...
Back
Top Bottom