Population ya Arusha ni ndogo sana kulinganisha na Mwanza,kama Serikali wangetaka kujenga uwanja na kisha baadaye uanze kuingiza mapato ni Mwanza hata sijui wamefikilia nini,naamin baada ya hayo mashindano kuisha uwanja wa Arusha utakuwa useless na watakuja kutudanganya kwenye media maana bado...
unamchukuliaje hatua wakati haujamsaidia mtu kufanya uwekezaji? au unadhani ni grocery hiyo?
uwekezaji kama ule serikali inaulinda kuliko unavyofikiri..
Umeambiwa kama hautaki kelele nenda kaishi Dodoma..Miji ya Dar es salaam na Mwanza ni Miji ya biashara.
Kwa kukumbusha tu agizo na mkuu wa mkoa wa Mwanza NEMC hairusiwi kufunga biashara ya bar Kwa sababu ya kelele.
Zaidi hapo kuanzia tarehe 01.07.2023 hakuna taasisi yoyote ya serikali...
Mzanzibari anakuja bara anafanya biashara,anapata ajira za serikali,anapata teuzi ana miliki ardhi ila Kwa mtanganyika hiyo kitu haipo..
KATAAA MUUNGANO..
Kwa mfanyabiashara yoyote kama haujawahi kukutana na kadhia ya TRA bado wewe haujawa mfanyabiashara..
TRA niwasumbufu kupita maelekezo.wanakatisha tamaa sana ya mtu kupambana na biashara..
Nilikutana TRA wanakuja kuomba receipt za Efd saa 7 usiku kwenye bar.
Unakutana na makadirio ya Kodi...
Haya mambo jinsi wanavyo yazungumzia ndivyo yanavyozidi kuenea kwa kasi ni bora wangekaa kimya wakapambana kimya kimya.
Binafsi nimekuja kujua neno shoga nilipofikisha 28 Yrs. Haya mambo yapo tangu kuubwa kwa ulimwengu na wala hayawezi kuisha kwa namna yoyote ile.
Serikali ipambane kutatua...
Nadhani inapaswa kumkumbusha Mama Maghufuri bado anakubalika kwa watanzania wengi mpaka sasa japo hayupo hai kuliko alivyo yeye hapo madarakani..
Watanzania wengi wanajua hawakumchagua Mama bali walichamgua JPM hivyo ni kheri aendelee kukaa kimya aendele kusubiri mbeleko ya CCM 2025..
Asimame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.