Search results

  1. M

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Mjomba Mkude, Wametudhalilisha sana tunaosoma elimu za juu,kama ndo hivyo mwanangu akimaliza F4 anaomba Nazi kabisa kwa GPA 3.0 ya Arts. Mnaonaje wadau!
  2. M

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Kamchezo katamu,anatutangazia kinyume..
  3. M

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Alikuwa na ukame jamaa,si angenistua nimkamsaidie. Mi hapa nikiona paja tu wazungu wanatoka bila habari..! Balaa..
  4. M

    Kamanda Kova, Mtaa huu watu wanaporwa sana pikipiki

    Doria ya polisi ni mchana,si usiku.
  5. M

    Nimeichukia Google

    Halafu we unaonekana ni member kitambo,ulikuwa unaona misifa classic..
  6. M

    Nimeichukia Google

    Ni ndoto za usiku tu,ukiamka sijui kama utakumbuka.
  7. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari matunzo,kama unataka GARI imara kanunue Land cruiser 1hz,usahau shida. Spea za runx/Alex zinaingiliana na ist/vitz/ist/funargo tofauti ni taa,vioo,sitemirror na dashboard. Hivyo nakushauri kanunue tu.
  8. M

    Urusi inataka kuanzisha Vita Kuu ya Tatu ya Dunia

    Mbona Iran waliiona na kuitungua hiyo mwaka jana.!
  9. M

    Urusi inataka kuanzisha Vita Kuu ya Tatu ya Dunia

    Russia akikasilka anapenyeza Bomu kwenye bomba la gesi linalokwenda ulaya magharibi n.k. Kwa staili hiyo haponi mtu huko ulaya kwao..
  10. M

    Kila msichana ninaekutana naye ananiambia tayari ana mpenzi

    Check Facebook misumari kibao.. Hofu yako tu.
  11. M

    Mpenzi hataki niende Jeshini

    Ilishantokeaga miaka 4 iliyopita nikiwa ndo naanza kazi. Demu angu aliaga kuwa nataka kwenda Kisoma akawa anaishi kwa dada yake,alianza kubadilika taratibu baada ya miezi 4 nikimpigia nakuta simu yake inatumika zaidi ya nusu saa na nikipiga hapokei na akitaka kupokea ananiambia nilikuwa naongea...
  12. M

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    Faru dume ana ghorofa kariakoo karibu na mtaa Wa Kongo.
  13. M

    Watu wawili washambuliwa na kuporwa Gymkhana kwa mapanga

    Pdiddy anatafutwa,wanapiga deal na wenzake kisha anawageuka kwa kutoa siri huku jf
  14. M

    Mpenzi hataki niende Jeshini

    Mwangaruka Miss chaga na jamaa hawaeendani,kuna misumari under twenty kama.. Miss chaga ni 45 years.
  15. M

    Mpenzi hataki niende Jeshini

    Kama ndo Mara ya kwanza kutolewa bikra na Huyo mwanamke,au ww ndiye uliyemtoa bikra,ukienda huko utakutana na misumari zaidi yake. Pili ww ndiye mwanamme lazima uchakalike mwishoni utakuwa bushoke. Jitathmini na ondoa kauli take eti bila yeye huwezi ishi.
  16. M

    Kiongozi wa Vijana wa JKT waliokuwa waandamane apotea ghafla

    Tatizo lao,wanaendeshwa na nguvu za siasa,taratibu za jkt si lazima uajiriwe na serikali. Waache waandamane wataisoma namba. Waliopitia taratibu za ajira baada ya kumaliza mafunzo inakuaje.?
Back
Top Bottom