Search results

  1. Ndallo

    Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

    Kijana wetu kuna page imempasua kwa kujikweza utajiri kumbe anapiga saa fake , Be humble, haya ndio mambo yanachangia Mpaka kushabikia madikteta ili ku maintain maisha ya juu kumbe unaweza kuishi kawaida na watu bado wakakuheshimu
  2. Ndallo

    AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Unauza Karanga halafu unataka Forbes wakutambue kuwa wewe ni tajiri[emoji2]
  3. Ndallo

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Nina Swali la kumuuliza Job: “Condom inatumiwa baada ya mimba kuingia?” Hizo taratibu zake anazitunga baada ya miezi 6, mimba ni pevu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni mambo ya KITOTO!
  4. Ndallo

    Bill & Melinda Gates watalikiana

    Hatukawii kusikia Bill anatarajiwa kuolewa na mwanaume mwenzake, maana hawa watu hawashindwi[emoji40]
  5. Ndallo

    Wabunge wa CCM oneni aibu basi

    Ngoma inapigwa MTANDAONI, wapangaji wa mjengoni wana DEMKA[emoji3]
  6. Ndallo

    Wabunge wanaodemka hawajui machungu ya kutafuta kura

    Wameambiwa waache kudemka... kisha kwa wingi wao wakainuka kudemka![emoji40]
  7. Ndallo

    Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

    Hapo mwisho ungemalizia kwa kusema Mimi Inzi wa Kijani kutoka Hai[emoji40]
  8. Ndallo

    Makonda ameipigia Saluti maiti ya Hayati Magufuli bila sare kama nani?

    Salute unatakiwa ufunge dole Gumba Huyu alishapitia hata Mgambo kweli[emoji40]
  9. Ndallo

    Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Bangi sio Tembele[emoji40]
  10. Ndallo

    Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Mimi ni msanii (mimi ni msanii) Kioo cha jamii (kioo cha jamii) Mimi naona mbali (mimi naona mbali) Kwa darubini kali (kwa darubini kali)
  11. Ndallo

    Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

    Wakati tunakazana kusema Mungu atusaidie kuhusu Corona! Tukumbuke kusoma Kitabu cha Hosea 4:6 kwenye Bible.[emoji40]
  12. Ndallo

    Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

    Hivi kuna mtu alikua na makelele na sera ya viwanda kama Kaijage[emoji4]
  13. Ndallo

    Darasa: Epuka matapeli mitandoni, jifunze kugundua dalili za tapeli uokoe pesa zako

    Na wale wanaotupigiaga simu wakijifanya wanatokea Voda, Tigo, Airtel 😎
Back
Top Bottom