Search results

  1. malipula

    Ili Tanzania ifike mbali kiuchumi

    Tupunguze riba kwenye taasisi za fedha ili watu waliomaliza elimu ya juu au elimu ya veta waweze kuchukua mikopo na kufanya biashara. Kuwe na mazingira mazuri zaidi ya walio maliza shule waweze kujiajiri
  2. malipula

    Mbwa anauzwa

    Kwa nini unamuuza?
  3. malipula

    Natural gas pipeline between Tanzania and Uganda to be running within three years

    Probably Tanzania will be another Russia of Africa that supply gas to all her African neighbouring countries.Congratulation!!
  4. malipula

    Double agents nguli wanne kuwahi kutokea katika ulimwengu wa ujasusi

    kuna jambo moja ambalo umelisahau sana kulisisitiza Infantry soldier..u double agent unaua
  5. malipula

    NYUMBA INAPANGISHWA IKO UBUNGO MAZIWA

    Nyumba self contained yenye vyumba vinne vikubwa ipo kwenye kitalu namba 539,Block F, Ubungo maziwa karibu na Mabibo inapangishwa kwa Tsh laki nne (mazungumzo yapo) Nyumba iko karibu na Kituo kikubwa cha mabasi cha Ubungo, pia karibu mwanzoni mwa kituo cha Treni iendayo mjini. Kwa mawasiliano...
  6. malipula

    Magufuli Ongeza kasi -Mapato ya Ngorongoro yaongezeka maradufu!

    Kenya walisema hivyohivyo, sioni chochote kipya kinachotokana na mabadiliko ya katiba.Bila mabadiliko ya hulka ya watu juu ya ufisadi katiba mpya ni ghiliba ya kisiasa
  7. malipula

    Si busara kudhihaki Majeshi yetu ya ulinzi na usalama!

    Huwa ninapata shida sana nikifikiria kama leo ingekuwa ndio ile vita ya Kagera sijui tungekuwa wapi.Wengi wangekuwa upande wa Iddi Amin na upande wa Ghadafi kwakuwa tu ni dini moja nao na wengine wangenunulika kirahisi na kutoa siri zote za jeshi. Nadhani tunahitaji mabadiliko ya mfumo mzima wa...
  8. malipula

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Hivi kile chama cha ushirikiano kati ya Msumbiji na Tanzania TAMOFA kilikufa?
  9. malipula

    Ufunuo: Hakuna haja ya kumuomba Mungu unapokuwa na Tatizo.

    Zaburi 50.15 Ukaniite siku ya Mateso nitakuokoa na wewe utanitukuza!
  10. malipula

    Magufuli hana uwezo wa kuwakamata na kuwashtaki mafisadi

    Makaburi mengine hayatafukuliwa ila yale yanayowanyonya na kulitikisa Taifa lazima yatafukuliwa.It is just a matter of time
  11. malipula

    Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

    Yaah yule ni jasusi wa Tanzania lakini....sio wa Kenya
  12. malipula

    Maoni ya Wakenya kwa Staili ya Uongozi wa Rais Magufuli

    Wao wanataka Tanzania kufungua milango watu wao waje kufanya kazi kwetu...wafungue milango ya lazima pia na wa kwetu waende kwao. La sivyo Tanzania kwa sasa ina wataalamu wa kumwaga tu...hatuihitaji expatriates wanaozungumza kiingereza cha kikikuyu hapa
  13. malipula

    Nimekuja kushituka kiantena hana, nataka kumwacha

    Mkulima wa kweli hachagui shamba.Hujui mapenzi.Wenzako wanawapenda na kudumu nao.Mapenzi ni sanaa.Achia wanaojua kupenda
  14. malipula

    Ni aibu kubwa Taifa letu kujifunza Teknolojia kutoka Rwanda

    Acha tujifunze Rwanda maana Kagame ni mtoto wa Tanzania.Tumemfundisha wenyewe jeshi
  15. malipula

    Mfanyabiashara wa Dar mwenye asili ya Somalia, Mohamed A. Nur atangaza kugombea urais Somalia

    Namuona Nkurunzinza na Kagame na Museveni mwingine
  16. malipula

    Naomba kutoa ushuhuda wa uchaguzi wa mwaka 2005 uliomweka Rais Kikwete madarakani

    Hayo ndio maisha..kuna kushuka na kupanda!
  17. malipula

    Kulikoni ITV kukata matangazo punde baada ya Rais kutangazwa!?

    Mengi huwa hashindwi vita...mumtahadharishe pia hasimu wake kuwa naye ajiandae maana anaweza kupotea vilevileUkitaka kupambana na mtu usichimbe kaburi lake tu, chimba na la kwako maana unaweza kupotea
  18. malipula

    Sababu 31 kwanini Magufuli hawezi kuwa rais wa Tanzania

    Tusiandikie mate wakati wino upo
  19. malipula

    UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

    kwahiyo kupiga kura hakuna maana yeyote ile!
Back
Top Bottom