Search results

  1. M

    Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

    Kitambi habari ya mujini sign of money!!
  2. M

    Kumvusha darasa mtoto wa darasa la sita kwenda kidato cha kwanza

    Watu na pesa zenu mnatesa ila na sisi tunapambana tu One day yes!
  3. M

    Basi gani nipande kwenda Mwanza?

    Princes murro wapo vizuri
  4. M

    Tuliopangiwa JKT Ruvu pakoje

    Bulombola kambi ya mafunzo,utii,nidhamu,bulombola ya kigomaaa basi lake Saratoga dagaa na mawese yaingia hekooo bulombola 821 kj under care of CI james and I.M.Mketo Co Na Robert Mpemba Oc wa eagle coy Jkt raha sana .wapi Chulei Mkaka sir major.
  5. M

    Shule bora za Serikali A-Level

    Nyakahura hgk,hgl,hkl hatari sana ilikuwa full one na two.
  6. M

    Ukijaza educattion hata mwisho ni lazima unachaguliwa nayo?

    Usijaribu watakupeleka hata use na one lakini ukikosa awamu ya kwanza utakosa hata course za IT
  7. M

    Kampala University ufisadi hauelezeki, tusubiri uchunguzi wa Kamati ya Bunge!

    Kampala wanafunzi wote wa hapo 97% wamefeli form six Na wengine walitemwa na system ya TCU awamu ya kwanza na kuapply kwa pressure ya kukosa chuo wakakimbilia huko mgeenda diploma au cheti au mkawa walimu mnaanza kulaumu mliyoyataka wenyewe tulieni kama hamna vigezo ondokeni acheni lawama kwa...
  8. M

    Advance diploma ya journalism ninaweza kusoma lugha gani ya kigeni yenye soko nchini?

    Jounarism ya UK haaaaa kazi kweli hicho nacho kipaji piga kichina pale udom confusious institutes utakuwa vizuri Kila LA kheri
  9. M

    Team Kanembwa tukutane hapa

    Kunywa maji ya kutosha!
  10. M

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako ulishawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaarikana/kuitana Think big
  11. M

    John Francisco Nzilanyingi: Fisadi anayekuja kwa kasi zaidi Tanzania

    Huyo jamaa anaishi pale block H first floor! kweli jamaa halina a mani kudadadeki lazima alteza tuitaifishe iwe Mali ya udoso kila raisi awe anatumia na tunawakabidhi Brock R wafuga nguvu pindi serikali inapomaliza mda wake . John ulaaaniwee na kizazi chako chote Amina.
  12. M

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    Unajuwa yanayowapata wanachuo Wa nchi hii na idara nyingine nyingi Ni maana ya hawa ccm na serikali yao tote .
  13. M

    Serikali ya wanafunzi UDOM na ufisadi uliokithiri

    Sema na wewe ulikosa mgawo naona povu linakutoka hapo kwenu H mlikuwa na gari? Ungemuumbuwa huko bunge lilipovunjwa siyo kuleta hapa jamvini Please moods tuondolee Uzi huu.
Back
Top Bottom