Search results

  1. K

    Malazi ya muda mfupi mjini London UK

    Jambo Nitumie namba yako ni kusaidia. Thanks.
  2. K

    Nyumba ya kisasa inauzwa

    naomba namba yako ya simu msee
  3. K

    Nyumba ya kisasa inauzwa

    tupia number yako mkuu
  4. K

    Muundo wa Serikali Tatu ni Illegal, Unjustifiable, na Ni Kuvunja Muungano!-Kingunge Ngombale Mwiru.

    Sipendi sana kutumia jukwaa hili la Jamii forum kuzungumzia mambo ya kisiasa maana mimi si mtu wa siasa. Lakini huu si wakati wa kawaida. Wakati Bunge Maalum la katiba linaendelea mustakabali wa Taifa letu upo mikononi mwa waheshimiwa wa Bunge hili, hasa wanachama wa CCM maana wao ndio walio...
  5. K

    Kikwete: Tuwasaidie Wacongo, wamechoshwa na vita

    Hilo nalo janga. Yeye watu wake wananyofolewa kucha na kumwagiwa tindikali waandishi wanauliwa mchana kweupe lakini yeye kimya. Maliza matatizo yako kwanza ya ndani. Hii yote anataka tusimwulize mbona safari zako hazina tija kwa taifa???? shopping tu!!! Kagame alikwambia unyamaze lakini...
  6. K

    TUMEIBIWA GARI, Ninaomba wanajamvi mnisaidie tafadhali....

    hivi bwana lukosi unaona watu hawana akili? ilo gari mbona hutoi namba zake tuzione ama ndio umeambiwa kwamba utapata tenda kwa kuonyesha kwamba polisiccm wanafanya kazi watakapokuja na hadithi kwamba tumeweza kulikamata gari hapa bongo wkt wanaua watu wewe unafurahi tu kwa ujinga wako. Hiyo...
  7. K

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Dawa pekee ni kunyoa kila asub na utumie maji ya moto. Baada ya hapo apply Nivea after shave
  8. K

    Mbowe: Tatizo la Mtwara linahitaji mazungumzo na sio nguvu za kijeshi

    mara zote nakuona kubwa jinga. Je umepona ugonjwa wako?
  9. K

    Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

    Kwa nini mnamwita mama?? huyu si mama ni mwanamke asiye na utu. Je, ameolewa na je ana mtoto? ndio sababu kubwa ya kuwa na roho mbaya. Kwanza hana communication skills iwe lugha ya kiswahili, kingereza hata neno moja hajui akienda mataifa ya wenzetu yeye kila kitu anacheka tu. Nilishangaa...
  10. K

    John Mashaka: Naomba mdahalo na Nchemba na Kigwangalla, nawapa wiki moja

    Some people think that there's no need to learn any more when yo have taken your exams and are in a well-paid job, but the human brain has a desire to learn. And life feels much more fulfilling when you keep learning.
  11. K

    Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

    Hivi rais amejisikiaje kuwaona hao watoto wa shule walivyovaa? na hao pengine ndio wana unafuu kidogo. Mhh nchi yetu!!! Hii picha ya watoto na yule babu imenifanya niwaze sana. CCM kweli hayo ndio maendeleo? Nasikia Bagamoyo ndio kabisa!!
  12. K

    Gesi ya Mtwara: Tamko rasmi la CCM ni hili hapa......

    raisi mwongo waziri jina lake mwongo period
  13. K

    Tenda ya Bomba la gesi ya Mtwara

    ast Kamwulize FastJet na mwanae Riz1. Hivi kwa nini mnapoteza muda wenu kuuliza maswali kama haya? Lini mikataba ya ufisadi ikawekwa wazi? Unakumbuka Karamagi alisema mikataba yake aliweka kidole hotelini nchini Uingereza kwa nini kwa sababu yule mama wa madili Maajar alikuwa balozi wetu hapo...
  14. K

    Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

    Lukosi usijidanganye. Madawa ya kulevya ni biashara mbaya sana. Na kama unadhania utapata pesha kwa kutoza kwenye MOT ni ujinga. Kwa nini nije kwenye kampuni uchwara wakati najua gerages kibao zinatoa MOTs za uhakika na gari lako linakuwa salama kuliko nyinyi mnaoendekeza njaa. Be careful my...
  15. K

    Mbona yeye hajakingwa?

    Ndio kawaida ndugu yangu. Kama ni mvaa suti unapashwa ufanye hivyo. Hutakiwi kukifunga. lla nimeshangaa sana wabongo wengi wanaacha label kwenye koti hiyo haitakiwi. Hapa ulaya ukinunua suit kwenye maduka ya designers kabla hujatoka dukani label wanaitoa ila watu wengine utasikia usiitoe...
  16. K

    Jeuri ya wanaoingiza mafuta machafu kuichezea serikali hii hapa...

    Kikwete kumweka waziri wa sasa wa biashara na viwanda alijua ndio maana alipewa dollar 50000 akakaa kimya ili UK waendelee kupata pesa ya bure. Alichokifanya Mwakyembe ni kumwonyesha kwamba anajua kila kitu Kigoda. mambo yatajulikana umeona yalotekea Ufaransa raisi hakuna wa kumpokea. BA na BP...
  17. K

    Zitto: Serikali ya Kikwete imekosa uhalali wa kutawala!

    Nimepata kigugumizi leo baada ya kumwona rais wa tz anapokewa na mke wab rais wa mali ambapo kuna machafuko hii inamaanisha kwamba watu wametuchoka. Sioni umuhimu wa kwenda France ama Swiss maana watu watatafisiri mvinginevyo!! Hivi rais wetu hana wa kumshauri??? aibu sana. Hata balozi wetu...
  18. K

    PICHA: MH. Wassira ahudhuria HAFLA ya KUAPISHWA RAIS MPYA wa GHANA J.D. MAHAMA

    Swali langu la leo: Hivi Pinda, Tyson na Mangula walishawahi kuwa vijana? maana tangu nikiwa mdogo sura zao ni hizo hizo!!!
  19. K

    Rais Kikwete kwenye ziara ya kiserikali nchini Ufaransa

    Muda mfupi nilisema Werema anasema maneno bila ya kufikiri sasa ona jamaa tayari anaenda Swiss ambako jamaa amemwambia balozi wake eti ni mdogo kwake. Unaenda nchi za watu unapokelewa na mtu mdogo maana Rais wao yuko busy na mambo ya maana sio hao waendao kwa ajili ya kuombaomba na kufanya shopping.
  20. K

    Werema: Balozi wa Uswisi nchini amekosa adabu!

    This silly!!!! Kesho utaona mkuru anapanda ndege na bakuru kwenda kuomba. Nadhani Werema kichwa chake kina tatizo. Badala ya kumwomba balozi awasaidie maana aliwapa njia kidogo sasa yeye anakuja na vitisho kama yuko jeshini. Ndilo baraza la mawaziri tulionao Mulugo aka Amim, Werema, Naughty...
Back
Top Bottom