Search results

  1. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    We boya mpira hujui, Ghalagah ni mchezaji wa hovyo,mchezaji anakimbia kimbia tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa unasema anacheza vizuri?!!. Yeye ndio alikua anafanya wakina Caceido na Enzo waonekane wavovu Tutajie penetration pass hata moja tu, moja tu! aliyowahi kupiga tokea ameanza...
  2. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hamna kocha humo, wachezaji wake muhimu ni akina Ghallagh na kitambaa cha ukapteni kampa wakati Silver ingependeza apewe. Choko sana huyo kocha.
  3. ENZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sema nini? Havertz hatujapgwa kbs. Amesajaliwa aje kupress sio kucheza mpira. Anajua kupress.
  4. ENZO

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sababu ni chakula chake, Ode si huwa anagawa upendo, nahis ata ugomvi wa Lecazate na Arteta kisa ni Ode kugawa upendo kwa wote wawili.
  5. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nini tena kupandishana mizuka. Wengine tuna aleji na hivyo viduara. #Uzi mkali
  6. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    We unaona Enzo anacheza hovyo kama huyo bwana ako?! Kai Ligi imemshinda. Mchezaji kalegea kama analiwa kichuli.
  7. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Isikieni hii kiazi mbatata.
  8. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tuchel alikua mwehu, kocha hamna mule ndio manaa nasuuzwa kila siku huko alipo manina zake. Eti akabaki na galagha!!!
  9. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wachazaji wazuri wanachanganywa na wachezaji wabovu, wanaongozwa na kocha kiazi. Ghallager na Challobar ni matakataka.
  10. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu jamaa ni mduanzi, hajua kitu kuhusu mpira. anachojua ni kucopy na kupaste.
  11. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Amka acha kuota, tumuombe mungu tu hiyo mechi iwe na magoli machache.
  12. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bora Potter
  13. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa kwnye nafasi hizo chelsea kuna muingereza wakuzicheza? Hamna namna lazima wacheze hao ila kungekua na waingezera angepanga wote. Sasa umeelewa?
  14. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    NDio ashafukuzwa chelsea, kama unaona hana tatizo mchukue
  15. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bi dada embu fafanua, mpira upi? wa ufukweni, wa miguu au ule wa 1 vs 1
  16. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado hamna ubavu wa kuchukua ubingwa nyie mazwazwa.
  17. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Enzo sina shaka nae, ndani yake kuna mchanganyiko wa wachezaji wanne Xhaka, Jorgihno, Partey na Odegard.
  18. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jamaa huwa miyeyusho sana,hahahaha OLLA UNGA LTD
  19. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    We jamaa comment zako kama hizi huwa zinanifurahishaga sana, cjui kwa nn!
  20. ENZO

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu na pota ndio wanaitia chelsea janaba. qumaa sana hawa.
Back
Top Bottom