Time is not on our side. Mradi wa 41b hata ukiwa mbovuTanzania itafaidika sana. fikiria out of box: ajira, wageni, training, na vitu chungu nzima. Hawa negotiators wetu wataka fixed percentage tu ndicho wanachokijua. Hakuna mtu atakayekupa 41 b halafu asione kama anazirudisha. Na Tanzania ni 'a...
Kwa experience yangu, masuala yanayohitajia kufikiri kama hili, hayapati wachangiaji wengi. Na mtu akichangia huwa ni hivyo- 'nani kakuambia kuwa mradi unachelewa?' aina hiyo. Watanzania tuna tatizo kubwa ndugu yangu. Suala kama hili lingetolewa kwenye forum za Uganda au Kenya...
No. Kwa Tanzania kwa kweli kupandisha shillingi kutatokana na kukata matumizi makubwa na yasiyo lazima ya serikali, kuongeza uuzaji wa bidhaa nje ya nchi na hiyo ni kwa kupungza vikwazo lukuki kwa wasafirishaji bidhaa, pia kuongeza akiba ya psa za kigeni nje badala ya kukopa ovyo ovyo...
Inakuwaje kwamba Kenya, kuanzia kati ya mwaka uliopita, ilishuhudia kuanguka vibaya kwa sarafu yake, Kenya Shilling, hadi kufikia mwisho wa 2023, ilipoteza asilimia 20% ya thamani yake.
Shilingi ya Kenya iliwahi kubadilishwa Sh.167 kwa dola moja, kutoka shilling 135 kabla rais Ruto kushika...
Hizi Social media bwana! Zimewafanya vibogoyo kusema na kuuliza! Ziara za rais nyingi zina manufaa kwa nchi; labda kama wazungumzia zile za JK. Pili, huwezi kushutumu ziara hadi ujue madhumuni na nini Tanzania inapata. Hujui!
Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania.
Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
Nchi ya akili ndogo hii. Kweli ni Waziri yupi amaweza kuwa ana akili kubwa. Tukizungumzia Bil.42 ni pesa ambayo mwenye akili angefanya kila kitu iingie, naama, hata kwa masharti mabovu!
Hawa ndio watu wanaopendwa na mama. Waziri wa uchumi ni muhimu kuliko hata Waziri Mkuu. Leo analiweka jitu kichama!
Ameshindwa hata kudhibiti kuporomoka kwa shilingi, na hivyo kuongeza umaskini zaidi. Kenya dola ilifikia 160 na hivi nisemavyo imerudi hadi kufikia 130 kwa mikakati ya Waziri wao...
Ni ukweli usiofichika Wakristo wengi sana hapa Tanzania wako 'indoctrinated' (wamekasumbishwa?) dhidi ya Waislamu; wanaamini na kukubali vitu vya kipumbavu sana juu ya Waislamu, hata hao wasomi wao!
Kwa upande mwingine, Waislamu wengi pia, wanawaona Wakristo wanapendelewa katika kila jambo hata...
Wazenj was0me kut0ka Uingereza! Hivi sasa wataka wapige kura tena warudi EU! Utajiri m0dhani mtaupata baada ya kujitenga ni myth. Kama Mwarabu asaidia 0vy 0vy angeisaidia Yemen, Sudan au hata wafanyakazi wa ndani ku0tka nchi za Kiislamu!
Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa...
Huu ndiy uivu wa kufikiri! Zaire, Cng Brz, Uganda....zte zilikuwa na uhusian wa karibu na Israel, wameendelea kutushinda? Maendeleo ni maamuzi yak hakuna mtu atakayekuletea maendele, hata katika maisha yak biinafsi. Acha ukupe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.