Search results

  1. sheiza

    Rais Samia: Tuna 99% ya Hati Safi na 1% tu ndio Hati Chafu, Ripoti za CAG zinatusaidia Sana Tunasonga mbele!

    H Kweli mama etu zumbu.k.u.k.u ulimwengu upo huku. Ye anadhani hati safi ni halmashauri kufanya vizuri??? Hajui kama enzi za JK wakurugenzi walikuwa wanaandaa bahasha nono kwa wakaguzi ili kupata hati safi..na kwa serikali hii kinashindikana nini kwa wakurugenzi kutenga mafungu kwa wakaguzi ili...
  2. sheiza

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Ye muda mwingi alikuwa anautumia mitandaoni kutukanana ba watu, sio kujibizana.
  3. sheiza

    Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Magu alisimamia msimamo kuwa kama kakupa nafasi kisha ukajitia tamaa kugombea nafasi nyingine haupati. Faustine anajitia kiburi tu..ila 2025 atamkumbuka Magu..pale wajumbe watakapomuambia bila millioni 00 asijisumbue kugombea..
  4. sheiza

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    1. Silent Inn - sam nujoma..hata brenda fassie alifanyia perfomance. 2. Makondeko inn - kimara. 3. Ukanda wa Gaza - sinza makaburini. 4. Vatican City hotel - uzuri sinza 5. Maisha Club - Morogoro store masaki 6. Lang'ata - kinondoni makaburini 7. Ambasador hotel( kwa sasa jengo la airtel) pale...
  5. sheiza

    Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

    Kwamba mishahara unaongeza tu kama unagawa uji wa kwenye hitma.? Hata usipo perfom..au kwa sababu hizo hela hazina mwenyewe?
  6. sheiza

    Waziri Mchengerwa: Nilipewa bajeti ya dola laki 5 ili kununua basi moja la mwendokasi

    Enzi za Magu walikuwa wanarudisha hadi chenji hao..saa hizi mwendo wa kujiongezea sifuri tu Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  7. sheiza

    Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

    Nikioigia kura upinzani kwa mara ya kwanza 2010..sitakuja kupigia upinzani kura. Ni ulofa. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  8. sheiza

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango kumwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa SADC Nchini Zambia

    Umetuwahi wengi kaka.! Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  9. sheiza

    Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Huyu mama hata wanawake wenzie wanavyomsifia unaona kabisa ya usoni tu. Wanawake wenzie wanakuambia mama samia hoyee.. wakati nyumbani maji hayatoki, sukari hamna, umeme hakuna, vyakula havishikiki si vitunguu wala nyanya. Na hapa muathirika wa kwanza ni mwanamke mwenyewe. Sent from my...
  10. sheiza

    Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Magufuli alikuwa tofauti na hao wote...Magufuli alipenda sana lakini pia alichukia sana. Magufuli alikuwa mkali sana lakini pia alipenda utani sana. Alikuwa na misimamo isiyotetereka..kwake yeye rafiki ni yule aliyependa kufanya kazi na kutanguliza mbele maslahi ya nchi..kinyume na hapo hata...
  11. sheiza

    Wizara ya Afya yadaiwa kuhusika katika ufisadi wa bilioni 4.8

    Dah kumbe zile kampeni za ujanja kuchanja ilikuwa sio mapenzi yao clouds, ni biashara tu. Kweli binadamu ni chombo cha biashara. Hatukumuelewa Magu. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  12. sheiza

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Huyo mkewe mwenyewe alipata taarifa baada ya waziri mkuu na katibu mkuu kujua...mwanamke anabaki kuwa mwanamke kwenye mambo mazito..ndio maana unaona Samia ni rais wa mambo mepesi mepesi..safari za ulaya na arabuni, sherehe za kizimkazi, kucheza ikulu na wasanii pamoja na kina mwijaku na kina...
  13. sheiza

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    Sie tunawataka watoto wa chuma washike nchi. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  14. sheiza

    Kwenye Utawala wa awamu ya 5 Bashiru Ally na wateule wengine wa Rais walijipa Utukufu kuliko hata Mitume wa Mungu

    Kwani watu walio karibu na Mbowe wanaishije? Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  15. sheiza

    Wamarekani wamkumbuka Magufuli alivyowalinda Watu wake wakati wa COVID 19, ni Ohio kwenye mkutano wa Trump!

    Kwani ulilazimishwa kutembea au kutoka?..ungekaa ndani na familia yako tu. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  16. sheiza

    Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

    Hawapo juu ya sheria. Labda kwa serikali za waoga. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  17. sheiza

    Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    Chuma kinachoishi. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  18. sheiza

    Safari za Rais Samia zawaletea mchele wa virutubisho kutoka Marekani, taifa langu tunaelekea wapi?

    Utauzwa madukani hutojua. Hili ni janga la kitaifa. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  19. sheiza

    Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

    Hata sasa mawasiliano yao yapo hadharani hata yako, ila ikionekana mawasiliano yako ni hatarishi basi utavurugwa tu. Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom