Wamefanyika study kuhusu huu mradi lakini sisi tunawapinga kwa hoja hafifu za hofu za kisiasa kama mradi huu hautajengwa! Vyura wa kihansi wako wapi leo????
unapunguza matumizi kivipi wakati kila mfuko ni taasisi ina bajeti yake na malengo yake kwa wanachama?? si sababu ya msingi hii?? kuna jambo linafichama hapo!! kupunguza matumizi wakati wamejenga majengo lukuki?? kupunguza matumizi wana maana wafanyakazi warudi mtaani?? Tanzania Ngumu sana!
Sidhani kama ipo. Ile tu kutamka kuwa watalii waje wachache walipa Kodi ujue hata umuhimu wa kuwa na mabalozi huko ughaibuni shida. Meli kuja chache zinazolipa ujue hata hao wawekezaji wanaangalia cost benefit analysis kati ya nchi na nchi hawezi kuja kwenye nchi yenye kauli Kali kiasi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.