Search results

  1. S

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    Kilimanjaro umeshindwa badala yake Table Mountain (Mlima meza) umeingia kwenye maajabu saba. au nimeelewa vibaya?
  2. S

    Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

    Ikiwa mwisho ni Tarehe 11 Novemba basi Mlima wetu umweshindwa, badala yake mlima Meza umeingia kwenye maajabu saba. Swali ni je ikiwa zoezi hili liliaza tangu mwaka 2009 mbona ni juzi tu ndio uhamasishaji umefanyika? zima moto itatutesa.
  3. S

    Nahitaji kufahamu jumla gharama za psptb-stage 4 & 5

    Naona haifunguki wala niki search haipatikani. Nataka nichukue fomu za kujisajili kama walivyonielekeza.
Back
Top Bottom