Search results

  1. N

    Elections 2010 Hivi Kuna uhalali kisheria kuiapisha serikali iliyopigiwa kura na < 50% of voters

    well if JK kachaguliwa na less than 50%...koz of wale ambao hawajapiga kura....Then Mkuu Slaa na yeye atakuwa na less than 15%....duuh noma basi.....
  2. N

    Elections 2010 Kikwete kuapishwa na kutangaza hali ya hatari

    Hiyo hatari unaiona peke yako......dream on with your fantasy.......unakuwa unaota ndoto za mchana.....nchi ipo shwari na JK kashinda .....asiyekubali kushindwa sio mshindani.....na SIASA haina DROO au MECHI YA MARUDIANO......imetoka.....
  3. N

    Siasa za tanzania

    Uchaguzi mkuu unakaribia kwa kasi ya ajabu kwa Watanzania huku kila chama na mwanasiasa akivutia ngoma kwake. Kama ukiwasikia wanasiasa wetu hao kwa umakini basi unaweza ukaamini wanaweza wakaleta mabadiliko makubwa pindi tutakapowapa dhamana ya kutuongoza katika maeneo yetu mbali mbali, iwe...
Back
Top Bottom