Search results

  1. rallphryder

    Watanzania wengi hawasomi Katiba ndio maana wanashangaa CCM kumpa maagizo Waziri Mkuu

    Acha ubabaishaji, katiba unayozungumzia haitoi nafasi kwa mtu ndani ya chama kuwakoromea mawaziri, hiyo ibara ya chama kushika hatamu ilikuwa ni Ibara ya 10 na ilifutwa na sheria namba 4 ya mwaka 1992 baada ya ujio wa multiparty
  2. rallphryder

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    Acha kuchanganya habari ya vitabuni na vilivyoletwa kwenye majahazi na hali halisi ya kibiashara, Acha kabisa.
  3. rallphryder

    Je, ni kweli Allah amewaumba binadamu na majini ili wamuabudu?

    Kwanini Mungu akuumbe halafu eti akuone unateseka kwa kuinama na kuinuka mara 5 kwa siku, ili umuabudu, kwani usipomuabudu atapungukiwa nini?
  4. rallphryder

    Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

    Anakoendea ataanza kumpa maelekezo hata kila aliyemzidi
  5. rallphryder

    Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Migogoro isipomalizwa atamfanya nini? Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
  6. rallphryder

    Ukoloni wa Ujerumani ulikuwa wa ovyo zaidi

    Mi babu yangu anaongea kidachi kuliko kiswahili, alikuwa askari mtoto wa kubeba mizigo na silaha Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
  7. rallphryder

    Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

    We unavuta bangi. Kwanza una umri gani?
  8. rallphryder

    Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

    Lisu ni kichaa na tapeli tu, huyu si ndio alikuwa anapinga kila kitu cha Magufuli huyu!! This guy is lunatic.Period.
  9. rallphryder

    DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Ni ushamba tu, kwani kila mwenye gari ndio kasababisha ajali?
  10. rallphryder

    Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Hicho kijiji kilikuwaga na sifa za watu wenye tabia kama hizo za kigaidi, waliomkamata watakuwa hawajamuonea
  11. rallphryder

    Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Huyo Lissu mwenyewe anatumwa na mabeberu, anamshambulia mama eti tu kisa wawekezaji wana asili ya uarabu, huyu jamaa mnafiki sana
  12. rallphryder

    Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Hiyo ilianza kitambo huko Kenya na Nigeria
  13. rallphryder

    Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi

    Itakuwa aliwasumbua sana na kuua wenzao vibaya, kisasi ni haki.
  14. rallphryder

    TANAPA: Simba Joel alikimbia, tunamtafuta

    Na kweli wawekwe ndani tu, maana Bob alikuwa mtu wa watu
Back
Top Bottom