Search results

  1. Z

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Sasa kwanini wanamuacha aendelee kutukana wakati sheria zipo?
  2. Z

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Kilaza ni tusi? Kama ametukana sheria si ziko wazi wampeleke mahakamani?
  3. Z

    Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Umeiona ya Mange ya leo? Acha hili lichama life tu....
  4. Z

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    Africa tunaweza tambo tu....majisifu mengi yasiyo na maana hata toothpick hatuwezi...eti tunajifananisha na watu wanaogundua teknolojia mpya kila siku. Tukubali kama tumekwama na tuanze upya labda hapo tutapona. Tunaitwa shithole si bure. Umeshazunguka duniani kidogo ukaona wenzetu walivyotuacha?
  5. Z

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    Umelewa Togwa? Tanzania tunaweza kuifananisha na hata jirani zetu kenya na rwanda? Yaani chuki yako na israel mpaka inakutoa ufahamu
  6. Z

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Mawaziri wote kujibu hoja za CAG haraka sana ili hatua ziweze kuchukuliwa

    Wakuteue tu nafasi yeyote huko, tumechoka na huu ushubwada wako.
  7. Z

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    same-sex blessings, says such unions are contrary to God’s will
  8. Z

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Ile amri huku africa si imektaliwa mkuu au unajioa ufahamu?
  9. Z

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Anachoandika si kimetoka kwa mabosi wake au huwa anaandika akijisikia tu?
  10. Z

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    inawalaani na polisi wanaokamata watu wanaokula hadharani wakati huu wa mwezi wa ramadhani?
  11. Z

    Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Weka na hii link kwenye uzi wako MAPYA YAIBUKA: WALIOKAMATWA KWA KULA MCHANA ZANZIBAR, MWANASHERIA AFUNGUKA 'WANAWAONEA'
Back
Top Bottom