Search results

  1. Killuminati

    Historia ya Julius Nyerere, Sumbawanga 1959 kwa maneno ya Dkt. Mzindakaya

    Sasa point ya Mzindakaya hapa ni nini? Ok sawa alikuwa kule. Tunashukuru.
  2. Killuminati

    Rashid Ali Meli alitoa fedha za serikali kwa siri kufanikisha safari ya Nyerere UNO 1955

    Mzee Mohamed hebu fafanua. Nani alitoa pesa, Rupia au Meli? Nini kilijiri?
  3. Killuminati

    Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

    Kwa kweli sikutegemea uendelee hivi, nimeipenda spirit yako. Mungu akushike mkono
  4. Killuminati

    Kutoka maktaba za kijeshi

    Article murua, kuna kitu kimeniingia kichwani sio sawa na kukaa bure. Msahihishane kwa staha wadau.
  5. Killuminati

    Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

    Don't get your hopes up. Darlux ni hovyo kabisa. Twice wamenilaza njiani na wana lugha mbovu kwa wateja. Wajifunze kwa metro, scandinavia, etc.
  6. Killuminati

    Presentation ya Dr Rioba Sweden uko very poor

    Yaani nimeona aibu kama nipo pale.
  7. Killuminati

    Jinsi nilivyofanikiwa kununua pikipiki

    Mimi ni tomaso bado juu ya hili ila nimejifunza kitu hakika. Nitaifanyia ubunifu zaidi.
  8. Killuminati

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Najaribu kuvuta kumbukumbu juu ya wale madaktari wa kitanzania waliotakiwa kwenda kufanya kazi Kenya halafu pia nalinganisha na ule usemi kuwa mkuki kwa nguruwe tu...
  9. Killuminati

    Josephine Mushumbusi: Hongera Patrobas, Mwenye chama angegundua unahama CHADEMA, tungekusoma kama Ben Saanane

    Huyu sista vipi Huyu?. Stress za supermarket nini? Aendelee tu na maisha
  10. Killuminati

    Dr. Kimei: Hatua ya Serikali kuhamishia akaunti zake BoT, itasaidia kupunguza mfumuko wa bei

    Kwa kifupi heshima itarudi town. Shukrani kwa wachangiaji. Kimei yupo sahihi juu ya mfumuko wa bei ila taasisi yake itayumba na wala asibishe hili
  11. Killuminati

    Nataka kusafiri kwa Pikipiki ya BAJA XLR 250 kupitia Mbuga ya Mikumi, Je, kuna usalama?

    Fanya maamuzi magumu usisikilize mtu we pita na speed ndogo tu tena usiwapigie kelele inawazingua afterall simba wamefunga ramadhani hii wahi kabla haijaisha.
  12. Killuminati

    Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

    Tusimjibie wadau. Tunamhitaji afafanue ila kwangu nimeondoa points kadhaa kwake.
  13. Killuminati

    kila mtanzania anadaiwa shilingi 856,000

    mbatia kichwa.
  14. Killuminati

    Hamisi Kigwangalla: The Story!

    Ni kweli. Kaka Hamisi, tafuta mwandishi mmoja akusaidie juu ya mtiririko na kiingereza kizuri cha uandishi halafu tutupie hapa tupate ladha mpya. Hongera lakini.
  15. Killuminati

    Polepole anachambua rasimu ya katiba ITV na Radio one

    Inanisikitisha mno. Yaani mtu mmoja anataka kufanya nchi yote ni ya majuha. Anakusanya maoni sasa?? Tumemtuma sisi??
Back
Top Bottom