Search results

  1. Mtende

    Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    My brother@The Monk, nakutafuta Hey bro The Monk, nakutafuta
  2. Mtende

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Mjinga zaidi ni mume, aliruhusu vipi familia yake kwenda kwenye porpulation kama ile, yaani mke wako anakurupuka tu anaondoka nyumbani na watoto wote eti anawapeleka msibani, unapoutwa kichwa cha familia ni pamoja na kuilinda familia yako, kuhakikisha kila wanapokwenda usalama wao ni 100%
  3. Mtende

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Pamoja na lawama kwa serikali, nadhani watanzania tuna ushamba au ulimbukeni juu ya mambo, dunia kwa sasa ni kama kijiji, kuna matukio tunaweza kuyaangalia tukiwa majumba i mwetu lakini myu mwenye akili timamu anabeba watoto na kuwapeleka kwenye mazingira hatarishi kama yale
  4. Mtende

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Nimejikuta na maswali mengi sana, hasa pale nilipowaza courage ya huyo mama kubeba watoto mpaka uwanja wa taifa, watoto wadogo ambao pengine hata hawawlewi maana ya msiba au maiti, ninewaza pia kuhusu mume ambae amewaruhusu watoto kupelekwa uwanja wa taifa kuaga mwili, watoto ambao bado ni...
  5. Mtende

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Kasimu anazidi kuchanganyikiwa sijui shida iko wapi
  6. Mtende

    Huyu mwamba namkubali sana

    You are right
  7. Mtende

    Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole kufanya mkutano na waandishi wa habari saa nane leo

    Kama hizi habari ni kweli basi kama nchi tuna safari ndefu sana
  8. Mtende

    Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole kufanya mkutano na waandishi wa habari saa nane leo

    Hawajahudhuria, walikua busy na kikao cha kugawana madaraka
  9. Mtende

    Huyu mwamba namkubali sana

    Yeah hata mimi nimemwona nikashangaa walisema amekufa
  10. Mtende

    Mungu awabariki sana wanawake wa dizaini hii....

    Mpaka mwishoni mwa ndoa, wengine hata kula unasubiri mpaka arudi mle pamoja hata akirudi saa sita[emoji41]
  11. Mtende

    Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Hapa kwetu mpaka nyumba zenye bendera ya ccm na wanajeshi wastaafu wameweka kijiwe cha bia tangu juzi hawalali, sijaua kwa nini lakini tunahitaji sana busara kipindi hiki ili kuponya vidonda na chuki kwenye mioyo ya watu
  12. Mtende

    Msiba wa Dkt. John Magufuli umeacha funzo kubwa kwa Viongozi na Wanasiasa

    Mama ana wakati mgumu sana na ni ngumu sana kuvaa viatu vyake, lakini on the other side kuna watu walipitia wakati mgumu kama anaopitia mama kwa sababu ya JPM, think about mama kabendera, wafikirie mamia waliobomolewa nyumba, mfikiria mama Lissu, mama Alphonce mawazo, mke wa ben na azory, mpaka...
  13. Mtende

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Namuonea huruma sana mama Janeth, najaribu kuvaa viatu vyake ila vinapwaya, Mungu amtie nguvu na ampe faraja iliyo kuu, sio jambo rahisi kufiwa na mume
  14. Mtende

    Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

    Hahaha daah wewe umejua kunichekesha
  15. Mtende

    Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

    Umeamua kupigilia msumari[emoji1787]
  16. Mtende

    Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

    Waache tu waseme, maneno yao hayawezi kubadilisha katiba, inajulikana kwamba Mama Samiah ni Rais wa Tanzania Msiwe waoga, naona leo wanaume wanalalamika sana mitandaoni, siji mnajisikiaje.
  17. Mtende

    Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

    Ni kwa sababu wewe bado mvulana hujawa mwanaume, siku ukiwa mwanaume kamili basi mama na dada wataacha kuingilia maisha yako binafsi especially mahusiono Jinsi ya kuwa mwanaune kamili ni kuwa na maamuzi na misimamo pamoja na uhakika wa kila unachokifanya Kauli yako iwe ya mwisho kwenye...
  18. Mtende

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Ataongea na vyombo vya habari kila siku
Back
Top Bottom