Search results

  1. BECHO

    Vodacom mbona mnatuaibisha

    siyo 72 ni 12.74
  2. BECHO

    Vodacom mbona mnatuaibisha

    Umelipwa Gawio la Hisa zako za VODACOM, TZS 12.74 kwa kila hisa moja (toa 5% Kodi ya Zuio) kupitia Akaunti yako iliyopo NMB .
  3. BECHO

    RICH DAD POOR DAD: Nimemaliza kusoma kitabu hiki, nisome kipi kingine?

    Asante umesema nilichotaka kusema. Hicho kitabu(Rich Dad Poor Dad) kilinifanya niwe na msimamo wa kuanza kampuni nikiwa tu nimetoka chuo.. sasa ni mwaka wa nne naona fahari ya maamuzi niliyofanya
  4. BECHO

    Mwenye Degree yake anafanya haya, kweli vyuma vimekaza

    Degree uthamani wake uko wapi kama mfukoni huna kitu.. Hii tabia ya kuangalia vyeti ndo chanzo kikuu cha umasikini wa wasomi wengi..
  5. BECHO

    Msaada: Wamehack website yangu toka jana!!

    umetengeneza mwenyewe hiyo site mwanzo mpaka mwisho, au unatumia CMS kama wordpress, au nyingine??
  6. BECHO

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    Nionavyo mimi ni zaisldi ya asilimia 80.. nimejaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwenye mji ninaoishi nyumba zenye vibari hata asilimia 3 hazifiki... nikajisemea wanataka kugeuza miji yote kuwa kifusi
  7. BECHO

    Gradutes na wasomi wa IT naona kama mmelala sana.. fursa nyingi sana hii .com era

    Mkuu ulichoandika kina ukweli, ila kumbuka issue siyo idea tu ya mfumo(software) africa changamoto kubwa siyo kutengeneza hiyo mifumo.. changamoto kubwa iko kwenye soko.. soko bado lina watu wenye uelewa mdogo wa bidhaa zetu sisi software developers. ili utengeneze na upate hela unahitaji...
  8. BECHO

    Simulizi ya kweli: Mpaka kieleweke

    Watauzaje vitabu sasa??[emoji1] [emoji1]
  9. BECHO

    Msaada Tafadhali, ni mtandao upi wenye kasi zaidi kati ya Vodacom 4G na Halotel

    Tatizo hii mitandao speed zake zinatofautiana kutoka eneo moja kwenda jingine kwa mtandao mmoja huo huo.. so kufananisha lazima useme ni katika eneo gani ulipo.. mfano mimi nilipo halotel hana mpinzani..
  10. BECHO

    VodaCom MPESA Mobile App vipi

    Hii inaweza kuwa ndo sababu!!
  11. BECHO

    VodaCom MPESA Mobile App vipi

    Hilo nimeliona sijui wamelenga nini...
  12. BECHO

    Android app Develooment

    Je una ufahamu wowote kuhusu computer programming? ili nipate pa kuanzia
  13. BECHO

    Wanaopenda teknolojia kama mimi karibuni msome hapa

    Hongera sana mtoa mada!! ingawa naona kuna watu humu wanasema tu bila kuonesha wao wamefanya nini.. wanafanya kazi ya kukatisha tamaa.. Nakupa hongera kwa sababu umethubutu siyo wote wenye moyo kama wako wenye kuweza kukomaa bila mwalimu.... Ushauri wangu: Komaa na hicho unachofanya kwani bado...
  14. BECHO

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Yaani kati ya kitu ulikosea ni kumuwekea dhamana binadamu yeyote anaweza kuwa chochote wakati wowote..
  15. BECHO

    Trump Asema kinywaji cha CoCa Cola Ni Takataka

    Huyu jamaa ni mfanyabiashara anaijua hii vita vizuri..
  16. BECHO

    Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

    tumefanywa madaraja ya watu kupandia harafu tunajinyima wenyewe hadi uwezo wa kuhoji tunabaki kushangilia hadi ujinga ili mradi aliyefanya ni wa chama changu..
Back
Top Bottom