Search results

  1. S

    DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

    Hahahahhahahahah
  2. S

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Umekuwa mkweli..we kama unapenda kubaki CCM tulia tuliii hata ukiona ndivyo sivyo maana watakufurumusha!!
  3. S

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Ule wimbo wa tuna imani na Lowasa kumbe uliwakera sana eh..nimesikia leo mkuu akiongelea:D:D:D:D:D:D:D
  4. S

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Ningeelewa kama wangedil na wale wanaofuja mali za umma ambao ndo wamejazana CCM.. Hii ya kuwavua uanachama wenye mawazo tofauti ni udicteta na chuki. Huku sio kujenga chama ni KUTISHIA WANACHAMA WASITHUBUTU KUMPINGA MGOMBEA
  5. S

    Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Unawaonea huruma ama unajionea huruma! Tanzania yetu sote lazima kieleweke hakuna kukata tamaa.
  6. S

    Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Vip jama mkutano umeisha salama? Manake wale jamaa wasivyojiamini wangeweza kuleta police waanzishe fujo. Lema Jasiri sana ila awe macho wivu kitu mbaya sana wasijem-maneno
  7. S

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Nenda taratibu wee Dunia ya Mungu hii
  8. S

    Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    CCM LAZIMA WALALE.. Hutuwatakiiii.. mbona mnakuwa ving'ang'anizi Ondokeni mjaribu tena 2020
  9. S

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Be carefu tena tubu haraka Mungu sio mwanadamu.. hakosolewi ana mamlaka yote,, ni wa haki.. yeye ni yule jana leo na hata milele tubu atakusamehe yeye ni mwingi wa rehema
  10. S

    Mzee MKAPA katika kibarua kigumu kuisafisha CCM Tanga

    Huyu mzee nashindwa kuelewa ni kwa nini anatukanatukana kama chizi
  11. S

    Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    hii itakuepusha na presha...ila nakushauri jitune.... usijepata kiharusi ohooooo....magufuli keshajaitune ndo maana anawanadi upinzani kaamua .. kubali yaishe..
  12. S

    Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    Doesn't matter!! kama unaamini kiongozi bora ni yule anayeongea sana basi we ni zero... maneno mengi utayapata kwa akina Hadija Kopa wee wacha wehu...
  13. S

    Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    Tena nawaonya hii tabia yenu ya kukesha mnapanga kuiba kura.. mwaka huu mtachanganyikiwa kama waliokuwa wanajenga mlima wa babeli.. Peoplesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!
  14. S

    Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    naona tarehe 25th mbaali.... natamani iwe kesho nikawatoe hawa walevi wa madaraka CCM... LOWASA OYEEEEEE... UKAWA OYEEEEEE... MABADILIKO NI LAZIMAAAAAAA
  15. S

    Zitto Kabwe, picha zako hapa Dar ni za nini?

    Nafikiri anakitambulisha chama chake ambacho hakijulikani,... yaan bila yeye chama kitalala chali
Back
Top Bottom