Search results

  1. Adolph

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    bravo umemaliza kila kitu
  2. Adolph

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    dah watu wengine hamnazo kabisa..Ninachofahamu neno Tanzania lina maana kubwa sana BONDENI..wanatuheshimu sana sababu wakati wa harakati za uhuru tuliwasaidia..sasa mnaposema wamemshangilia mtu nawashangaa...pale watu wa south wameshangilia nchi kupitia rais wetu.
  3. Adolph

    Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    ana kiwango gani cha utaalamu? basi mwambi kuna wataalamu zaidi yake na wanatumia vifaa vya kisasa ambavyo hajawai hata kuviona wala kuvisikia...Tuvute subira
  4. Adolph

    Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

    naheshimu mawazo yako.. ila jaribu kujiuliza ni kweli mbowe anaweza akawa na nguvu ya kuwaambia ulinzi wote usiwepo siku ya tukio, pili Mbowe anaweza akawa na uwezo wa kuzitoa cctv cameras??..swali lingine naona bila uwepo wa Mbowe baada ya tukio Lissu angeweza kuwa hai hadi sasa?? mimi nina...
  5. Adolph

    Msaada wa Tv itakayonifaa kwa Biashara ya Mpira

    wakuu nianze na salam..Nina banda la mpira na nimekua nikitumia Tv za HISENSE LED 55'. kutokana na hali ya usalama inanilazimu kila siku nizihifadhi tv sehemu salama baada ya game. sasa nimepata changamoto,Hizi Hisense hata zikiguswa kidogo tu kwenye kioo hazifanyi kazi..yani kawino kadogo tu...
  6. Adolph

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    usiongee sababu unakula milo mitatu.....umewaza kuhusu ndugu na rafiki zako???
  7. Adolph

    TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

    Wanapoteza bure hela zao...sijaona kipindi cha kunishawishi niangalie tbc
  8. Adolph

    News Alert: Whatsapp gan inavutia zaid(kuwa na option na uwanja mpana zaid)

    nianze kwa kukuambia umekosea sana...tatizo umeangalia option ambazo zimekaa kimbea na umeacha kujadli option za whatsapp GB ambazo zinaifanya iwe bora sana...kwanza ina uwezo wa kutuma video zenye size kubwa kuliko whatsapp ya kawaida...pili unauwezo wa kuweka status video hadi yenye dakika 7...
  9. Adolph

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Duh si atakua anatoa laana kila siku???? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Adolph

    Hisense LED BACKLITHT TV 55' imepasuka kioo

    Huo mpunga ninao kaka...wapi ntapata hicho kioo na fundi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Adolph

    Hisense LED BACKLITHT TV 55' imepasuka kioo

    Tafadhali naomba msaada wa kupata fundi au mahali ntakapoweza kubadili kioo cha hisense tv 55'..nakaribisha ushauri Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Adolph

    Upotevu wa zaidi ya Sh. Trilioni 1.5: Ni aibu nchi nzima kumuachia Zitto pekee ahoji jambo hili!

    Wangesema chadema wangewaita wachochezi....hii haikubaliki
  13. Adolph

    Tumepandikizana siasa za Chuki, kukomoana,fitna na kibaguzi, hizi ripoti na madudu yake kuna watu watajuta.

    Hata ukijumlisha ufisadi wote wa awali EPA ESCROW RADA RICHMOND MAJENGO PACHA YA BOT bado haufikii ufisadi wa hizi 1.5T
  14. Adolph

    Serikali mnaijua bei ya kununua teknolojia ya kutengeneza madawa?

    Hatujamaanisha viwanda hivyoo....mmetuelewa vibaya....
  15. Adolph

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Umeandika upumbavu kama ulivyo mpumbavu...we jifanye mpuuzi tu kuchezea viongozi wa dini
  16. Adolph

    Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    So ni bora watu waendelee kuuliwa kuliko taifa kuwa katika taharuki..oky tumekusoma mweshimiwa
  17. Adolph

    Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    Umeongea vizuri sana...ila tatizo maelezo ya msamaria mwema yana ukakasi unaofanya atiliwe shaka...
Back
Top Bottom