Search results

  1. D

    Kama kawaida yao Madiwani wa CHADEMA wasusia kikao Hanang

    Hujatoa sababu hasa za kususia kikao, habari hii umeitoa kwa kukurupuka tu, Wananchi wamewatuma madiwani wao wakiwa na imani nao, na wanawapongeza kwa kususia vikao vya ndio mzee. Sababu hasa za kususia kikao ni 1. Kuwa Mkurugenzi Mtendaji (Felix Mabula) alitoa makabrasha ya Mkutano huo...
  2. D

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    Taarifa fupi tu kwa wan JF ni kuwa Jimbo la Hanang ni kati ya majimbo yaliyokaliwa na viongozi wakubwa kitaifa, mwanzo alitoka waziri mkuu Fredirick Sumaye na sasa ni waziri wa uwekezaji na uwezeshaji Mary Nagu ambaye ameshawahi kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri ikiwemo waziri wa viwanda...
  3. D

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    Muda si mrefu Mh. Dr. Wilbrod ataingia uwanjani kutoka Igunga. Wananchi wazalendo wamejaa uwanjani wakimsubiri kwa hamu kiongozi wao.
  4. D

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo anatarajiwa kutua Katesh, Manyara mida ya saa nane mchana hivi. Ataongea na wananchi wazalendo katika viwanja vya stendi na kesho Jumatatu atakutana na madiwani wa Chadema. Habari zaidi na picha tutawajuza badae.
  5. D

    CCM watumbukiza 10 mil+ uchaguzi MIPANGO

    Huko UDOM udini nao umetawala kupita kiasi, viongozi wamechaguliwa kwa kuzingatia dini.
  6. D

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Huku akiweka wazi kuwa yeye ni mmoja wa waanzilishi wa CCJ, Mpendazoe alisema kelele zote anazopiga Nape kuitetea CCM leo hii ni za kinafiki kwani tayari alishakiona chama hicho hakifai na akashiriki katika mipango yote ya kuanzisha CCJ. Akitoa mfano wa jinsi Nape alivyoshiriki katika kuanzisha...
  7. D

    Kwa hili jk nampongeza

    UDOM kuna nini? Tunajua chuo kimejengwa kwa uzuri wa majengo tu! Waulize wanafunzi ubora wa elimu, hakuna field, maji hayatoshelezi, walimu wachache, hajawahi kuonekana Proffesor darasani zaidi ya wenye masters tu. na mambo mengine kibao. UDOM hakina tofauti na shule za kata za EL, Sio tu...
  8. D

    Mambo nane kuhusu wabunge Tanzania

    1 1. Utangulizi Bunge la Tanzania ni moja ya taasisi muhimu sana nchini. Umuhimu wa Bunge unadhihirishwa na mgawo wa fedha zinazotengwa kwa ajili ya Bunge. Kwa mwaka wa fedha 2009/10 kiasi cha bajeti kilichotengwa kwa ajii ya Bunge ni Sh bilioni 62. Kwa kuwa kuna jumla ya wabunge 320, kiasi hiki...
  9. D

    Elections 2010 Mabango ya JK yaliyofichwa

    hapa ndipo utakapojua nani msanii na nani mchapakazi zinduka sasaa!!!
  10. D

    Kulingana na sheria ya ndoa kesi ya Dr. Slaa kupora mke imepitwa na wakati!

    Kesi ya Dr. Slaa ieleweke wazi kuwa si ya kudai matrimonial asset bali ni right to demages for adultery (Sect 72 LMA). Defence pekee aliyonayo Dr. ni kukana kuwa hakujua kuwa Josephine ni mke wa Mtu (refer S. 72 sub 2 of LMA). Hapa Suala la Presumption of marriage (dhana ya ndoa) haliwezi...
Back
Top Bottom