Search results

  1. A

    Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

    Ndoto ya kuota mwisho wa CCM tarehe 25/10 haikatazwi humu jamvini, wanaoota waendelee tu ila ikifika tarehe 26/10 ndipo watakapopata ukweli kuwa Magufuli ndiye Raisi wao!!! HAPA KAZI TU, MAGUFULI NI JEMBE, HATA UKAWA WANALIJUA HILO.
  2. A

    Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    Monges wape Wakawa ukweli, najua wanapata taabu sana na CCM. Nashangaa sana wanasema mengi humu ndani, kitu wasichokijua ni kwamba CCM wamejipanga vizuri na bahati mbaya yao ni kwamba hata wote wa humu wanaoiponda CCM na tarehe 25/10 waipigie HAPANA lakini wajue MAGUFULI ni Raisi wa AWAMU ya...
  3. A

    Kwa hili Dr. Magufuli amepoteza kura za watanzania

    Ni kwako na wengine unaowajua, Wengine watampa kura usijidanganye wewe! Subiri October utapata jibu sahihi siyo hilo unaloliwaza lina nafasi ndogo.
  4. A

    Kuna kila dalili za Lowassa kuwa rais wa nchi hii!

    Hayo ni mawazo na mtazamo, ni vizuri kulipiga debe la aina hiyo! subiri october uone matokeo ya debe lako.
  5. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wazungu wanatumia simu, lakini matumizi yao si kama yetu. Wao hutumia simu kwa matumizi ya maana sana si kama TZ tunazitumia simu hata kwa kupeana umbeya na kusalimiana wao sivyo hivyo na kupoteza muda kwa kuchati, Wao wana matumizi makubwa kwenye Komputa ukienda kwao kwenye coffee bar zao wako...
  6. A

    Wanaume njoon mtoe jibu

    Humu humu wapo wengi sana, cha msingi hapa SI HAKI KUTATHIMINI mtu katika matumizi yake. Angekuwa anasaidiwa mtu katika kazi anazozifanya ziwe ngumu au rahisi ingekuwa halali kumtolea hoja katika matumizi yake! Mwache mtu na matumizi yake kwenye jasho lake! PILIPILI IKO SHAMBA UNAWASHWA NA NINI...
  7. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hasira hasara, voda wana wateja wengi bwana, kwa kutupa kwako SIM CARD yao wala hawatapata taarifa na wala hawatajua kama wamekupoteza. Wewe komaa nao tu wakurudishie pesa yako, mimi ilishatokea kama wewe haikuchukua muda wakarudisha. Usiwaachie, hilo ni jasho lako. Kama una maamuzi hasi na voda...
  8. A

    Hii hali nitaiepuka vipi?

    Mimi sidhani kama unaonana na mtu dk ya kwanza tu atakuhisi wewe ni usalama wa taifa. Mimi nadhani ni kutokana na maisha yako ya kila siku na jamii inayokuzunguka iwe kazini au nyumbani. Pia upo uwezekano kabisa wa kuhisiwa hivyo inatokana na aina ya watu unaishi nao( nyumbani) na...
  9. A

    Sidhani! Magazeti Yasemavyo 26/ Oktoba/2015

    Yataandika: UKAWA kukata rufaa ya kupinga matokeo na KUTAKA uchaguzi wa nchi nzima urudiwe!
  10. A

    Mfanyakazi wangu wa ndani wa kike kakutwa na maambukizi ya UKIMWI

    Fuata ushauri wa Capital si busara kumrudisha haraka hivyo, ukweli wa tatizo unahitajika na halafu utajua uhalisi, utamshauri na hata waweza kumrudisha kwao pasipo kumnyanyapaa. Sisi wote ni binadamu na hilo si kosa lake anahitaji msaada kwa watu wanaomzunguka. Msaidie Mungu atakuzidishia...
  11. A

    Kwanini Maafisa mikopo wanapenda rushwa?

    Usikubali kutoa rushwa, mshikishe pesa za moto mshenzi huyo, anafikiri hiyo benki ya ni ya familia yake. Usikubali ujinga huo.
  12. A

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Mie napita tu hapa, naenda kutafuta sabuni ya kumtakatisha jamaa mmoja!
  13. A

    Msaada Wakuu, Vipimo Vya Ekari!

    Masuke yupo sahihi sana. Ekari mara zote unatumia kipimo cha yadi na siyo mita! ekari ni yadi 70 kwa 70 na kwa kurahisisha mara nyingi hutumika hatua za miguu ambazo kiukweli ni ndogo kidogo ya mita (kwa watu wengi hatua moja ni kati ya 0.8 mpaka 0.9 ya meta). Ukitumia mita 70 kwa 70 kwa ekari...
  14. A

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    R.I.P Captain Komba, pengo lako si rahisi kuliziba.
  15. A

    Master degree gani naweza soma kwa sasa yenye soko nchini!

    Soma Masters ambayo itakusaidia kijiajiri, achana na mawazo ya kuajiriwa ndugu yangu, hili lidunia la Tanganyika hivi sasa linakoelekea ni mtu usome vizuri ujiajiri mwenyewe!!
  16. A

    Nimeamua kuacha kazi ili nijiajiri

    Kajiajiri bwana, achana na kutumikishwa kwa faida isiyo kuwa yako. Kitu ni chako bwana, go ahead!!!!
  17. A

    Huyu mwekezaji apigwe marufuku

    Siamini ni hapahapa bongo, duh tumefikia hivyo!!!!!!!!!
  18. A

    Anaejua grade za kahawa na masoko yake, aje hapa tuongee

    Biashara ya Kahawa si kama biashara ya mahindi na mchele. Kwenye Kahawa ubora unatokana na ukubwa wa punje na radha ya punje( baada ya kuonjwa kiutaalamu). Masoko wa kahawa ni mengi; 1. Walanguzi ambao utawauzia moja kwa moja kwa makubaliano na hasa hununua kwa debe kutokana na bei ya kilanguzi...
  19. A

    Siloam church

    Ajibu maswali huyo, siyo kuzungukazunguka!
Back
Top Bottom