Search results

  1. jogi

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi ishirikiane na Wapiga Kura kulinda kura

    Ulinzi wa mtu na mali zake ni jukumu linaloanzia kwa mtu mwenyewe baadaye jamii na kisha vyombo vya kiserikali. Jukumu hili ni la msingi kikatiba, na kwa umuhimu wake naona ni vema Tume ya Uchaguzi NEC na ZEC zikawa bega kwa bega na Wananchi katika kuhakikisha wezi wa kura hawapati nafasi ya...
  2. jogi

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Mkusanyiko aliou trigger mkapa utatupa majibu chanya soon. Kwako Pascal Mayalla
  3. jogi

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Una maana walimuachia hospitali mgonjwa? Maana hata wao ni watu kama kikwete.
  4. jogi

    Ushauri: Tuwe na Mkapa Day

    Kama unadhani kumpa siku mkapa ni jambo jema basi mtengee hiyo siku hapo nyumbani kwako. Sisi usituhusishe kabisaaaa. Wengine hata kuaga walipigwa pini.
  5. jogi

    TANZIA Mwandishi wa Habari wa siku nyingi, Jacob Kambili afariki dunia

    "Bwana alitoa, Bwana ametwaa" ni kama kejeli kwa wafiwa na wapendwa wa marehem.
  6. jogi

    Kwa hili la Bashite(Makonda) nimeanza kumwamini Gwajima

    Anasindikizia na uno during the process?
  7. jogi

    Kwa hili la Bashite(Makonda) nimeanza kumwamini Gwajima

    Naomba uniheshimu, jibu linanilenga usoni wakati swali limemuulizia mkolomije!?
  8. jogi

    Kwa hili la Bashite(Makonda) nimeanza kumwamini Gwajima

    Huwa anazitoaje hizo mbegu ili wazipandikize?
  9. jogi

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Wapo watu wamewaua wenzao kwa kutumia madaraka yao, wamebomoa majumba ya watu utadhaani wanavunja vichuguu vya mchwa! Je watu hawa wana roho gani?
  10. jogi

    Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

    Huyu nae apelekwe lupaso. RIP
  11. jogi

    Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

    Kiukweli mazeri ana sura ngumu sana, sioni pakuanzia kumuonea wivu. Sipaoni kabisaa labda mnionyeshe.
  12. jogi

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Depotivo la Corona itakua imejua kutupatia burudani katikati ya sherehe.
  13. jogi

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Ishia kusema "NI RAIS WETU" Habari ya kumpenda haina umajumui. Ukome kutujumuisha kwenye mambo yasiyofaa.
  14. jogi

    Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya wakanusha taarifa za Ujumbe wa Kenya kuzuiwa kutua kwa ajili ya kuhudhuria msiba wa Mzee Mkapa

    Kwani hao walogeuzia angani walikuwa wanakuja kulima matikiti sio? Wendawazimu ndio hawajui kuwa msiba wa chenkapa ndio umewagharimu hivyo hata kuhatarisha maisha yao agani.
  15. jogi

    Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Ibadili iwe kwenye maandishi kwa faida ya wanaotumia techno.😁😂
  16. jogi

    Si kwamba ufugaji wa Sungura ni utapeli, no ni uwezo wetu wa kuwaza umeisha

    Napenda kusikia "......Kuna sungura choma"
Back
Top Bottom