Search results

  1. X

    Hukumu ya bomoabomoa kutolewa saa nane

    Watanzania tuache kulalamika kwa kila jambo jamani hawa watu wamejenga mabondeni na ndo wanasababisha mafuriko kila siku. Na hao matajiri kumbukeni wengi wao sio kwamba wamejenga mabondeni wengi wao ni kwamba kwenye viwanja vyao ni kwamba wakuta wameongeza uwanja so at the end of the day wakuta...
  2. X

    Najuta kumnyima kura yangu Rais Mchapakazi JP Magufuli

    Sikumpa kura Magufuli na kura yangu itaendelea kwenda upinzani. Sio kwa sababu namchukia Magufuli na sio kwa sababu nachukia CCM hii ni kwa sababu bila upinzania kuwa mkali vhama Tawala hujisahau hivyo basi kama mwananchi nitajitahidi kuhakikisha kwamba chama Tawala hakijisahau nitaendelea...
  3. X

    Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Serikali iko chini ya sheria. Sheria inaruhusu mwananchi kulinda kura wao ni kina nani kukataza wakwendreeeee
  4. X

    Comrade Mwigulu aendelea kufuta nyayo za Lowassa Mbeya, Cheki Kyela mchana wa leo, 20.10

    Mtu hapigi kura kwa sababu amemwona lowassa au hajamwona n watu washafanya maamuzi sasa hivi
  5. X

    Kwa wale wanaosema watabaki kulinda kura bakini mpambane nao hawana chama hawa

    Nyie pigeni watu ila jueni tu ICC ipo
  6. X

    Kitabu cha Oktoba; DEAD AID (Kwa nini misaada sio suluhisho kwa nchi masikini na nini cha kufanya)

    Among the best books ever written for Africa. I wish it becomes part of curriculum in schools to build a generation that will not depend on International aids. We need more Moyo & less Bono
  7. X

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    The bottom line is Twiga waliuzwa nje ya nchi na serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi na serikali haijasema chochote so far juu ya Twiga hao. Wether Twiga ni weupe, weusi, wa kijani haijalishi
  8. X

    Wawili kizimbani kwa kuchana bendera ya CCM Mbeya

    Na Yule mtu wao waliomweka anachambia bendera ya CDM
  9. X

    Tanganyika Law Society statement on arrest, detention and prosecution of Adv. Masha

    Lawyers, Noble Profession. I love being a lawyer. I mostly love the jibby jabbers we use to confuse the rest of the world a two words statement is a two pages expression of drafted by a lawyer
  10. X

    Dawa ya kitambi hii hapa

    Kama umeamua kutangaza biashara hapa weka na bei usisumbue watu kuanza kukutafuta private wehu huo
  11. X

    Matatizo mengi ya ndoa zetu zinatokana na kutokukuta bikira wasichana tunaooa

    Naomba nakujibu hivi 1.kutolewa bikira has nothing to do na kutoka damu, kutoka damu ni kwa sababu Ya kutojua what you are doing na kingine bikira sio kwamba kuna kamfuko kamejaa damu kwamba unaenda kukatoboa hapana ni sehemu wakuta ni kwamba pamebana zaidi so the rougher you are the more the...
  12. X

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Sikushauri umuoe out of guilty wote mtajutia ndoa. Lea mtoto ila oa ambaye anafurahisha roho yako afterall Kupata mimba NI Shughuli Ya watu 2 yeye kama mwanamke alijikingaje asipate mimba wanawake wengi tumekuwa NA tabia Ya kuwalengesha wanaume kisa twataka olewa wamlazimisha mwanaume akuoe...
  13. X

    Ushauri tafadhali: Wanangu wanakoelekea siko

    Pole ila naomba ku share na wewe Mimi kama mzazi huwa naongeaga ukweli na watoto wangu na wasifichi kitu kabisa na kitu kingine ni kwamba nimewaambia what I expect from them in terms Ya kuvaa kuongea na mambo Mengineyo nimeenda mbele zaidi na kuwapa masharti yangu kama mzazi mfano Kupata mimba...
  14. X

    Jifunze kwa awa vijana wa kiafrika ni matajiri wabunifu umri wao chini ya miaka 30

    Sidhani kama Kati yetu huku ndani kuna Mtu alishawahi fikiria kutengeneza nguzo za Umeme za plastic? Au kuzalisha solar energy to the extent Ya kampuni ya huyo ngowi Jamani lets not be haters maana waTZ we are such hater
  15. X

    Jifunze kwa awa vijana wa kiafrika ni matajiri wabunifu umri wao chini ya miaka 30

    Forbes hawamaanishi pesa tu wanamaanisha waanzilishi wa kitu tofauti na wameweza kukiendeleza.makampuni yakiyoanzishwa na vijana ni mengi sana na waweza kuta yana mafanikio kuliko hawa waliotajwa ila Forbes wamengalia kwamba Hawa ni waanzilishi wa kitu tofauti na mazingira Yao tukubali kitu kama...
  16. X

    Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Membe amwangalie jinsi Ya kuvaa kwani mkewe huyo mfyuuuu zake Wassira kakosa sera akalale tu
  17. X

    Hivi mpenzi wako mlioachana anaweza kukuachia laana?

    Kumbuka mambo yafuatayo 1.Mungu aliumba kila kionekanacho na kisichoonekana kwa neno kwa hiyo kama alisema neno baya juu yako litatembea na wewe 2.Moyo wa Mtu ukikunjika juu yako jua hatokunenea lolote lililo jema Ndo maana tunaambiwa Tafuteni sana Kuwa na Amani na kila Mtu Nimekujibu...
  18. X

    Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

    As usual waTZ ndo maana tunazidi kuburuzwa is the issue here lugha au what was said and what was meant?
Back
Top Bottom