Search results

  1. Issaya Kandonga

    Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

    Mwenyekiti wa AU au SG??
  2. Issaya Kandonga

    Waraka wa SIRI wa CCM kuhusu Katiba Mpya

    Mimi pia sijaona dhamira ovu katika waraka huo labda rudieni kuusoma tena.
  3. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Sawa mkuu Buldozer. Hayo ni mawazo yako siwezi kukupinga. Nia ni kuijenga Tanzania, vyama ni kma madhehebu tu ktk Dini yenye imani imoja. Wote tuna nia ya kuijenga Tanzania ila tunafautiana jinsi gani ya kufanya. Nakuomba tu tofauti zetu za kisiasa zisitugawe maana hapo ndio fujo huanzia na wala...
  4. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Natumia jina langu halisi Bw Buldozer sababu nipo kwenye nchi huru inayoheshimu haki na uhuru wa raia, sitetei utumbo bali nakupa sababu za msingi wa hoja zinazonifanya niamini kua tuhuma hizo ni kupotosha umma wa watz. Wewe umekalia kutoa lugha za kejeli bila kujenga hoja za msingi na ndicho...
  5. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Ndugu usipindishe mada kbsa radar haikagui twiga kwenye ndege, angalia makala za Jicho Pevu uone jinsi Saitoti alivyoondelewa pale Kenya. Jifunze kusikiliza wenzio pia You can never learn from hearing yourself speak. Fungua akili na soma tena hekaya yenu ni uzushi mtu haijaandaliwa kitaalamu kabisa.
  6. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hivi kweli walihitaji kuwatumia madiwani kujua helicopter itatua wapi na saa ngapi. Je, wao ndio wapangaji wa ratiba? Je hakuna vyomba vya usalama vinavyoarifiwa kuhusu ETA ya helicopter husika na pia hakuna radar mpk watumike madiwani?? Jiulize haya na rudia kusoma hekaya hiyo makini sana...
  7. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Watu walipanga kumuua Dr Slaa alafu mmewasamehe wkt Zitto alipanga tu kugombea uenyekiti hakusamehewa ebu acheni kuwadanganya watanzania. Narudia kusoma kila mara tuhuma hzo mwenye akili atagundua jambo. CDM mpo tayari kutekeleza mpango huo wenyewe ili lawama ziangukie ccm na mpate public...
  8. Issaya Kandonga

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hekaya nyingine tena hii. CDM kuna watunzi na waandishi wazuri sana. Tusicheze na akili za watu watz wa leo wameelimika. Mipango hiyo haiwezi kufanyika kirahisi ivo hao madiwani wawekwe mbaroni kuisaidia polisi alafu uone watakavyotubu ukweli halisi sio huu wa kuwekewa midomoni mwao. Njaa mbaya.
  9. Issaya Kandonga

    Kikwete and Kagame saga on Wikipedia

    Paul Kagame - Wikipedia, the free encyclopedia Jakaya Kikwete - Wikipedia, the free encyclopedia Controversy about Kikwete's encouragmeent of negotiations between Rwanda and the FDLR On 26 May 2013, Kikwete said at a meeting of the African Union that if President Joseph Kabila of the Democratic...
  10. Issaya Kandonga

    Ni Kweli Sheikh Ponda Ndio Suspsect Wa Waliomwagiwa Tindi Kali Zanzibar?.

    Me nimesikia hayo mawaidha jaman acheni ushabiki wa msichokijua kiundani,hata dvd na cd zipo ebu tafuteni mjiridhishe. Yaweza kua Ponda ni mtu mzuri tu ila anayoyasema ni hatar sana kwa ustawi na usalama wa hii nchi, jaman haya sio desturi yetu watanzania. Tuilinde amani yetu kwa gharama yyte...
  11. Issaya Kandonga

    Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!

    Unaekazana kutaja CCM katika kila jambo hata kama watu wanajadili mambo ya msingi we unaleta siasa, hii nchi hatuendelei sababu kila jambo tunaingiza siasa hata kama busara na utaalam unahitajika bado litatokea jinga litaingiza siasa tu. Someni historia na alama za nyakati Rwanda itabaki kuwa...
  12. Issaya Kandonga

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Toa yako ya kikubwa basi mkuu, mbona watu mnapenda sana ku-criticize mawazo ya wenzenu. HUO NDIO UTOTO KUYAITA MAWAZO YA MWENZIO YA KITOTO
  13. Issaya Kandonga

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Kitaeleweka tu, shirika lilianzishwa kwa waajili ya kusaidia makazi bora kwa watz wengi ambao ni wakulima na wafanyakazi lakini hizo bei zake wakati mwingine bora hata ununue kwa private developers. Bei ya kupanga na kununua nyumba haiakisi kabisa hali halisi ya maisha yetu. Mtu anastaafu jeshi...
  14. Issaya Kandonga

    Ziara ya Zitto nchini Malaysia

    Me nadhani tuache siasa za kishabiki na tusimame ktk ukweli ambao wengi hawajui.Ili tuweze kujenga nchi ye2 k...wanza tukubaliane kwa pamoja juu ya nn kifanyike na nn kisifanyike,tuunganishe sera zetu na tufanye kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo ya kweli kwa wa2 we2.2kipoteza muda...
  15. Issaya Kandonga

    Jamani kumbe wabunge wetu umombo...Mmmmm

    Swala la kimombo ni tatizo sehem nyingi dunian lkn hapa kwe2 mfumo mbovu wa elimu uliopo bongo nadhan wabunge wa sisiemu wamezidi hata grammar ya spika inatia huruma..... Tunahitaji mabadiliko ya dhati na kweli ktk mfumo wa elimu hasa swala la lugha ya ufundishiaji mashuleni na vyuoni NI AIBU...
  16. Issaya Kandonga

    Alioyasema Ahmedinejad kuhusu 9/11

    Hawa jamaa kweli wanajuana kwa vilemba but we have 2 learn from their mistakes tusije laaniwa kama wao!
  17. Issaya Kandonga

    Alioyasema Ahmedinejad kuhusu 9/11

    Hotuba ya rais wa Iran kuhusu what was claimed a terrorist attack ya 9/11 huko US yanaweza yakawa na ukweli wowote kweli? Sijui huyu jamaa anawaza nini katika cmments zake kuhusu mambo yanayohusu siasa za ulimwengu huu usioisha vita kwa sababu za watu kama yeye wasiotaka maridhiano ya amani...
Back
Top Bottom