Search results

  1. georgerweba

    Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Mkuu hii naomba maelezo kidogo hii, kuanzia msingi umepiga tofali au mawe tu hayaonekani?
  2. georgerweba

    Natafuta duka wanalouza vifaa vya stationery vya jumla

    Nashukuruni sana wadau kwa msaada wenu mkubwa mmenirahisishia kazi,hili jiji la watu ni kubwa sana!!!:A S thumbs_up:
  3. georgerweba

    Natafuta duka wanalouza vifaa vya stationery vya jumla

    Habari wadau naomba kuuliza kwa anayefahamu mahali wanapouza vifaa vya stationery vya jumla kwa bei nafuu Dar-es-salaam. Natanguliza shukrani
  4. georgerweba

    msaada wana udsm plz

    kubadilisha course inawezekana ila ungetujulisha umepata course gan na unayotaka kwenda sasa ni ipi na pia kuhusu mkopo inaweza kuleta tatizo kidogo kama umepangiwa course ya miaka3 na unaenda ya miaka4 au miaka5!
  5. georgerweba

    Hivi hii bodi ya mikopo wana maana gani?

    ila wadogo zangu wote mliokosa mikopo msikate tamaa jaribuni kuapeal na pia mkifika vyouni mtasaidiwa na viongozi wa serikali ya wanafunzi mpate haki yenu
  6. georgerweba

    naomba ushauri wenu mkopo muhas

    bodi ya mikopo
  7. georgerweba

    Ushauri wa bure kwa mliochaguliwa udsm.

    kaka Ubarikiwe sana Ushauri uliotoa niwa Msingi sana kwa Mtu yeyote anayekwenda chuo chochote sio Udsm peke yake iwe ni Sua,Udom,Saut au chuo chochote kile ni muhimu tuzingatie ushauri huu wa Bure tuliopewa.Hiyo point ya kwanza na ya pili naona zimenivutia zaidi.GRADUATE WITH "A" NOT WITH...
  8. georgerweba

    Naombeni msaada laptop inadisplay msg

    Jamani naombeni msaada wenu laptop yangu ilikua na tatizo la display nilimpelekea fundi lakini amenirudishia ikiwa mbovu zaidi inadisplay msg inayosema UNSUPPORTED WIRELESS NETWORK DEVICE DETECTED. alaf chini yake inaandika SYSTEM HALTED.REMOVE DEVICE AND RESTART. naomba msaada wenu nifanyeje...
  9. georgerweba

    Itv kunani kanda ya kaskazini?

    Ni miezi mitatu tangu ITV/RADIO ONE watoe matangazo kwamba hawatakuwepo hewani kwa muda mfupi,lakini cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hawajarudisha matangazo yao, ajabu zaidi nikua tulikua tunawapata kwenye dish lakini ilifika wakati matangazo yao yakapotea pia.Jambo linalosikitisha nikua...
  10. georgerweba

    Selection ya Mzumbe Undergraduate,Diploma na certificate Hii hapa in form of PDF

    Selection Ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mzumbewww.mzumbe.ac.tz/candidates.htm
  11. georgerweba

    Idm 605 serial number msaada

    Naomba Msaada wa code za IDM 605 kwa mtu mwenye nazo,NIlikua natumia trial version lakini muda wake umeisha na nimeipenda sana hii Software,Natanguliza shukrani kwenu wana Jf...
  12. georgerweba

    Ubuntu inanisumbua ........gnome

    salaam kwenu wakubwa wana JF Naomba msaada wenu nilikua natumia UBUNTU latest version lakini ilinishinda kitu kimoja,kuna mida ukifungua kwenye kuingiza password inagoma alafu inaandika kuna tatizo la GNOME nainakataa kufunguka kabisa imesababisha niFORMAT Machine twice,Sahivi natumia W7,what is...
Back
Top Bottom