Inauma sana kwa kweli! Wanatutenda kama yatima hawa watu. Juzi India leo Msumbiji na hawa watu tuko nao humu Tz wanaishi k2a raha na heshima zote.
nadhani serikali zetu zinapaswa kuandaa propaganda za kujenga mahusiano kwa individual people. Yaani maybe movies ama documentaries za kutuweka juu...
Mashosti muhimu tena uwe na rafiki wa kila aina: majambazi, mapolisi, machangu, walevi, wacha Mungu, wenye maendeleo, matajiri na maskini. Kila mmoja ana nafasi ya kukusaidia. Cha msingi uwe ma msimamo. Stand firm on what you believe. Na pia epuka washirikina kabisaa. Wengine wote halaal
Ngoja tukusaidie kufikiri maana khali yako haikuruhusu kufikiri.
Ni hivi: unapoambiwa elimu bure ni kwamba hiyo gharama sasa inabebwa na serikali. Ada yako italipwa na serikali na sio wewe ama mzazi wako. Kwa hiyo mambo yote yataendelea kama kawaida isipokuwa serikali itaipa elimu kipaumbele...
Pia ni muhimu kutambua kwamba hiyo azma ya kubadilika na kusutwa rohoni/nafsini ni Mungu anakuvuta maana Neno la Mungu Biblia inasema kuwa Mungu hataki mtu yeyote apotee bali wote waifikie toba ya kweli.
Mradi umejitambua, ungama na tubu makosa yako ujipatanishe ma Muumba wako. Yeye atakupa...
Si bure lakini una ugonjwa wa akili wewe. Chaguo lako wewe na mafisadi wenzako ndio gufuli lakini sio wa Tz wote. Pia mungu wenu mungu moto/mwenge alieitwa molech tangu enzi za kale bado mnamthamini eh.
Una laana weee. Norway, libya ya ghadafi,etc ni baadhi tu ya nchi zinazotoa elimu bure based on oil exports only. Tanzania ina kila kitu, isipokuwa uongozu makini tu ndio umekosekana. Lowasa na UKAWA wanaonyesha kuwa the impossible is possible so myie mlioshindwa pisheni wapite. Kelbu
Ndoa hazifanani. Cha muhimu jenga yako katika kuheshimiana, uaminifu na mapenzi ya dhati. Tangu nimeolewa yapata miaka sita sasa sijawahi kuchepuka na mume wangu huwa ni mtu wa safari kwa sana. Nampenda na namuamini na naamini nilivyo hivi na yeye yuko hivyo hivyo yaani mwaminifu. Pia...
Yaani hata mimi huwa najiuliza swali kama hili mara kwa mara na siku hizi nimeona niangalie zaidi kuhusu kumuomba Mola msamaha atuhurumie tu kwa wingi wa Rehema Zake maana tuko kama nyoka mwenye kichaa anaejing'ata mkia ilihali ana sumu kali sana.
Kama Mwenyezi Mungu akitupa pumzi, basi Oktoba...
Nimejitahidi sana kujizuia lakini wewe una ukelbu mkubwa sana!!!
Una akili za ajabu sana wewe. Aliekuambia kwamba Lowasa anatuambia hakutakuwa na haja ya kufanya kazi tutaishije? Unadhani wana UKAWA na mandondocha kama mafisiemu yanayoiba vya wavujajasho? Tutafanya kazi ila mazingira ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.