Search results

  1. juma digo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema bigboi mtu sana Salute man
  2. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    naanzaje kwenda.... mwiz kupewa ruhusa ya kuiba ushaona wap
  3. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    😁😁😁 kwamba jamaa kamtegea ka ulingo sio....
  4. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. juma digo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wadau kuna wimbo wa kiasili unaimba.... "Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba" Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
  6. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nilidhani nishajua style zote za kitandani mpaka juzi niliposikia chumba cha jirani:- Baby panda dirishani ufanye kuidondokea...!!! 😜😁
  7. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hii ya leo kali kinoma πŸ™ŒYaani Nimelala chumbani kwangu eti Asubuhi Inafika, Nimejikuta nipo chumba cha Dada wa kazi...😳 Kweli Dunia Inazunguka! 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
  8. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Sio kila mwanamke anaekuomba hela ana shida nazo...... mwingine anataka ushindwe kumpa muachane tu. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nadhani wanaume tutakua tumeelewana.....
  9. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Ukiona umemtext inbox mdada halafu hajakujibu ujue ameangalia DP yako picha amekagua Sana halafu akajisemea kimoyomoyo:- "Huyu mkaka Mimi hapana kwa kweli!!"!! jiongeze.... πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
  10. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Jamani waandishi tuwe makini.... Bibi mmoja amerudi nyumbani na mahindi yake, baada ya kukuta mashineni pameandikwa TUNAKOBOANA KUSAGANA FAKA πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜
  11. juma digo

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    ooh my favorite agent Han tae hyuk.... bado sijaona series yenye akili kama hii
  12. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nyie mlionitakia heri na mafanikio katika mwaka mpya wa 2018 napenda kuwajulisha kwamba bado sijafanikiwa na siku ndio kama mnavyoziona zimebaki chache tu mwaka uishe! kwahiyo mi niwaeleweje?
  13. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    *Wote MKEO na MCHEPUKO wanapata mimba kwa wakati mmoja, wanajifungua na baada ya kupima DNA hakuna mtoto hata mmoja ambae ni wakwako* *Hii ndo tunaita "KUPOTEZA NYUMBANI NA UGENINI"* πŸ˜ƒπŸ˜œπŸ€”πŸ˜ƒπŸ˜œπŸ€”πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾
  14. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    SIPENDI UJINGA ISHANIPONZA. Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena. Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku...
  15. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    *Mdada akiomba hela ya soda usifikirie ni #500 Soda yao inaanziaga #10,000 na kuendelea sa sijui wenyewe wananunuliaga wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚*
  16. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.20,000/=. Wakati nipo natafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.10,000/=" Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO. Kwenda na kurudi sh.20,000/=. Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA hapo...
  17. juma digo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    BREAKING NEWS: Reliable Reports from France suggests Liverpool have made a €55m bid for Monaco midfielder Fabinho.
Back
Top Bottom