Search results

  1. bridalmask

    Mwigulu mtu mwingine aisee

    Umevuta chako nawe siyo CHUKUA CHAKO MAPEMA(CCM)
  2. bridalmask

    Uchaguzi 2020 CCM yamjibu Lissu kwenye elimu, Magufuli kuajiri walimu 13,000

    KUNA SHIDA KWENYE VICHWA VYENU WALIMU 13K MTAAJIRI HIYO ELIMU BURE MLIKUWA MNAFUNDISHAJE BILE WALIMU,THIS IS VERY INSANE
  3. bridalmask

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    SHIDA ZETU ZA WATZ. NI ZIKO NJE NJE HAZIHITAJI MKALIMANI AU MUELEZEAJI WA SHIDA ZIKO WAZIWAZI KAMA VILE FUNZA WA KUMTOA TENA KWA KIDOLE HAINA HAJA YA KUTUMIA HATA PINI
  4. bridalmask

    Uchaguzi 2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    DSM NI KILA KITU WANA MATATIZO NAYO,WAO NDIYO HAWANA NGUVU ZA KIUME,WAO NDIYO WALAINI,NDIYO MKOA UNAONGOZA KWA KUSAIDIWA WAKE ZAO NA WANAUME WENGINE YAANI WAO KILA KITU WAKO NYUMA. WANAUME WA DSM NDIYO WANONGOZA KWA KUJICHUBUA NA KUWA SALON,WANAUME NI WAVIVU HAWATAKI KAZI YAANI KWA KIFUPI DSM...
  5. bridalmask

    Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

    MHE.RAIS MTARAJIWA NA MTEULE WA MUNGU TAL,YUKO SAWA BIN SAWIA TUNAZIDI KUMUOMBEA KWA ALLAH AZIDI KUMLINDA VS YULE ADUI MUOVU,YEYE NDIYE MKOMBO WETU TUMECHOKA MATENDO MAOVU YAO. AZIDI KUWANYOROSHA WAOVU.
  6. bridalmask

    Pongezi za Selasini kwa Serikali zawa gumzo bungeni

    Pongezi au umalayamalaya wa siasa zile Hayati Mwl.alizokuwa akizisema....wanasiasa malayamalaya Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bridalmask

    Rais Magufuli mtizame kwa makini sana Mwigulu Nchemba

    Mnaleta ule umalaya wa siasa siyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bridalmask

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Huwa hatuna tabia ya kuwasikiliza malaya wa siasa huweza uza vyote bila mipaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bridalmask

    Lugola akalia kuti kavu ndani ya CCM

    Wahuni na wezi wa fedha zetu mmekutana siyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bridalmask

    CHADEMA 2015 mlikosea kuteua mgombea Urais naona mnajiandaa kurudia kosa?

    Hapohapo hadi mimba iingie mtulie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bridalmask

    Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

    Dereva bodabofa uringe unadhani hatujui aliyendakia hii story. Lete namba za wanafamilia 2 hapa tuone.Acheni mzaha na maisha ha masikini mnatuita wanyonge kinafiki.Lete Majina na mawasiliano yao tuongee nao direct kuthibitisha,magari ya hawa viongozi huwa yanaendeshwa kwa mwendokasi sana bila...
  12. bridalmask

    Pongezi ofisi ya NIDA Kawe

    Mbona mie nilienda mwezi wa 7 hadi sasa bila bila au unaleta shobo ukiwa ni one of the Team?
  13. bridalmask

    Rais Magufuli kuzungumzia jimbo la Lissu sio kuingilia Mahakama?

    BORA MFU KULIKO MAWAZO HAYA MFU
  14. bridalmask

    M/kiti BAVICHA-Songwe afutiwa kesi. Akamatwa tena na kufunguliwa kesi ya Uhujumu uchumi

    Watapambana lakini kamwe na daima hawatoshinda kwani chadema ni mpango wa mungu,kuwakomboa watz. Na kupata uhuru wa kweli na halisi na siyo uhuru wa kufubaza na kupumbaza akili tuliyo nao kwa sasa.
Back
Top Bottom