Search results

  1. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kweli mkuu, wanakula matapishi yao..!!
  2. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kwani hakuna hukumu inayotolewaga bila mlalamikaji/mshtakiwa kuwepo..!? then kwanini asikate rufaa? unajua nyinyi mbwembwe,majigambo,kelele nyingi zisizo na mpango, leo sijui eti amekabidhi gari la taka..!? miaka 4 ya uongozi hapo hai alikuwa wapi? imebaki miezi 3 ndio anakuja na gia hiyo...
  3. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kuna tusi lolote umeona? sheria inasema anakosa haki ya kugombea kutokana na uzembe alioufanya sasa wewe sijui na wakiwa wenzio mnatetea upuuzi alioufanya kiongozi wenu, kisa mahaba niue:what:
  4. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Ujue unafuata mkumbo rage hakumtishia mtu bastola bali alipanda jukwaani bastola ikiwa inaonekana na wananchi kwenye kampeni, huyo unayemtetea wewe alimpiga mtu makofi sijui upo:what:
  5. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kuna hoja ya kujibu hapo? we unatetea uhalifu ukiambiwa ukweli jibu hoja ipi:what:
  6. M

    Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

    Bado miezi mitatu uchaguzi ufanyike, miaka 4 yote alikuwa wapi? eti mfano wa kuigwa, na kupiga wasimamizi wa kura pia ni mfano wa kuigwa? achana na ushabiki wa kipuuzi
  7. M

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    We utakuwa umeshachanganya mbege na kiroro wakati unaandika huu uzi, ccm ndio walimtuma hakimu kutoa hukumu? au mbowe alitumwa na chadomo kutenda kosa? au waliokuwa jela wote wamehukumiwa kwa mgongo wa ccm? fikiri kabla ya kuandika upuuzi wako humu jf, eti anakubalika:what:
  8. M

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Sio utani mkuu, kwanini atumie uyunani kutukana mtu? amtukane yeye lemutuz kama lemutuz sio achanganye na udini, afute hiyo kauli mara moja..!!
  9. M

    Sifa, shobo na usharobaro vyamtokea puani mwanafunzi wa UCC Mbezi beach mbele ya wajeda leo

    Vp wewe unaejua sheria umfatilie huyo dogo ili ufahamu hali yake na pia uwaeleze hao wanajeshi waache ujinga uone nini kinafuata..!!
  10. M

    Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

    Hapo viroba na mbege vilishatawala ubongo..!!
  11. M

    Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

    Ukiwa na nafasi ukafanya siasa raha sana..!!
  12. M

    Kero Idara ya Maji Arusha

    Mbona naogopa maana na mimi naitaji hiyo huduma..!!
  13. M

    Mjue Godbles Lema na Lema Amin

    Usafi wake ni kwako labda anakulisha na kukuvisha, kama ni uongo itajulikana na ukweli hivyohivyo, Richmond, Escrow zilianza tetesi mwisho maji yakamwagika..!!
  14. M

    Compare and contrast: Mkutano wa CHADEMA leo Arusha vs Lowassa na Safari ya Matumaini

    Yeye huyo profesa j ni mkazi wa Arusha..!? hao waliokuwa hapo shuleni siku hiyo mmoja wapo mm sikuja kwa ajili ya kuwasikiliza ukiwa au chadomo nilikuja kusikiliza j akiimba na baada ya kushuka jukwaani wengi tuliondoka by the way hakukuwa na nyomi kama mnavyojinadi, mtarukaruka sana but ccm...
  15. M

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    Hao ukiwa ndio bure kabisa hamna kiongozi pale..!!
  16. M

    CHADEMA hadi kwa watoto wadogo

    Mkuu hao jamaa wanahangaika sana na muunganiko wao wanaouita ukiwa, watoto ndio wengi siku hizi si unajua wanazunguka na wanamuziki ili watu wajae na wakiona hakuna watu wanachukua picha za 2010 wanazirusha fb au jf, watalia kuliko siku zote..!!
  17. M

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    Huyo hata hafai kuandikwa habari zake za aina yoyote ile labda waandishi makanjanja ndio wanaweza..!!
Back
Top Bottom