Search results

  1. comrade igwe

    Nini cha ajabu kwenye kasma namba 20? ( vote 20?)

    Nimekuja haya nipe tuition
  2. comrade igwe

    Nini cha ajabu kwenye kasma namba 20? ( vote 20?)

    Kwenye bajeti zote duniani, bajeti hizo zinaandaliwa kutokana na vifungu, kasma na kazi husika kwa mujibu wa vipaumbele Vifungu, kazi na kasma zote zinafuata mtiririko husika, kupitia kasma yaani vote mbalimbali,kasma hizo ndizo zinazotoa namna gani fedha zitumike kutokana na kazi zake kwa...
  3. comrade igwe

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Wameona majenerator yao yatakosa soko, rafiki yake wa kule lister peter na mwenzake Mueller power,pia bidhaa zao za viwandani vitakosa soko
  4. comrade igwe

    Kutoka Kenya: How President Magufuli plans to destroy Africa’s ecosystem

    Kwangu mimi nimeonelea mradi wa umeme una faida sana kwa baadae, kwangu mimi nimeonelea moja ya tatu tu ya eneo linakalojengwa mradi huo hakuna madhara yoyote kinyume na wanavyosema, kwangu mimi sera ya viwanda haitekelezeki mpaka mradi mkubwa huo wa umeme uishe ili kupata umeme wa uhakika,mbona...
  5. comrade igwe

    Kwanini Watanzania (baadhi) wanajiona 'inferior' kwa Wanyarwanda?

    Ukitaka ujue Wanyarwanda wanaihusudu na kuipenda sana Tanzania fika pale Rusumo
  6. comrade igwe

    Watumishi 57 watumbuliwa Wizara ya Madini kwa rushwa

    Safi, dah sura ya jamaa haitaki mchezo kama wale kutoka kulee kwa mfanano
  7. comrade igwe

    Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki

    ni kweli sababu kubwa inaweza kuwa kiwango cha damu kwenye ubongo inapunguzwa kwa mawasiliano ya ubongo na moyo, hivyo kuruhusu mwili kupumzika, aidha kama sehemu ya mwili inamatatizo au kuugua ugonjwa unazidi kwa kukosa support ya kawaida ya moyo na ubongo Mrewedi mwathu
  8. comrade igwe

    Rais mpya wa Congo DR augua ghafla akihutubia Taifa, akimbizwa sehemu ya siri kwa matibabu.

    Aaaah kazi kweli mwaka huu naukumbuka sana nilitandikwa sana viboko na mwalimu Patrick tena alivaa tshirt imeandikwa y2k 210
  9. comrade igwe

    Spika amekubali Kamati ya PAC kushughulikia upotevu wa Tsh. 1.5T

    Pascal nakukubali sana unatabiri sana ,nakukumbuka sana mwaka 2012 Mikocheni Rose garden Avenue saa tisa mchana tulipotoka St Peters cathedral nililia sana ukainama kwa muda
  10. comrade igwe

    Rais mpya wa Congo DR augua ghafla akihutubia Taifa, akimbizwa sehemu ya siri kwa matibabu.

    kwann kabla ya kutangazwa matokeo alikwenda Ikulu ya Kinshasa? kukutana na Kabila ?? aaah haya Mungu ampe nguvu zaidi
  11. comrade igwe

    Spika amekubali Kamati ya PAC kushughulikia upotevu wa Tsh. 1.5T

    Aah Subutuu CAG anajua kazi yake haswa, ngoja nilifuate Shabiby Bus Express
  12. comrade igwe

    Watuhumiwa mauaji ya Mkuu wa Usalama Rwanda wahusishwa na Rais Kagame

    Suspected beyond reasonable doubt he is Slim
  13. comrade igwe

    Watuhumiwa mauaji ya Mkuu wa Usalama Rwanda wahusishwa na Rais Kagame

    Yetu macho na masikio muda ndio utaongea hitimisho la hizo vuguvugu za mauaji ya upande was pili
  14. comrade igwe

    Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Daah mission zipi sasa, jamaa noma kumbe
  15. comrade igwe

    Sishauri sana Rais Magufuli awe ana 'disclose' mara kwa mara 'findings' za TISS publicly kwani anawaharibia

    Basi ngoja waminye baadhi ya taarifa kwa manufaa ya baadae sana
Back
Top Bottom