Search results

  1. Daole

    Hivi ni kweli wamikili wa Vyombo vya Habari na Wahariri wamepigwa mkwara na Magufuli?

    Kaka Pascal anza na Twitter za mabalozi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Daole

    Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Hv Bocco anautani na mwenye Bombardier zake huko angani! Hatuna budi kuwapongeza SSC kwa hatua waliofikia wengi wetu hatukuitarajia. Naamini uzoefu walioupata utazidi kuwajenga kwa ajili ya kuboresha kikosi na mbinu katika mashindano ya mwakani. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Daole

    Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

    Naomba niulize mbali na Professor Assad, hivi kuna kiongozi yoyote aliyeteuliwa na Kikwete ambae bado anahudumu katika nafasi yake katika awamu hii ya JPM? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Daole

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mh. Rais, Naomba upokee ushauri wangu na kuuzingatia. Kwakuwa umeamua kutumia lugha yetu adhimu ya kiswahili katika hutuba zako hasa hadhira unayoihutubia wakiwa ni wageni NINAOMBA usichaganye maneno au sentensi ya lugha nyengine za kigeni katikati ya hotuba za kiswahili. Jambo hili binafsi...
  5. Daole

    Ni Tanzania pekee kitambulisho cha Taifa kinakuthibitisha kuwa raia, lakini hata ukiwa nacho na kuomba passport unatakiwa tena kuthibitisha uraia!

    Kichekesho wakati tunasajili vitambulisho vya NIDA maafisa uhamiaji walikuwepo na kuzitibitisha fomu zetu inashangaza hawakiamini. Pili, tulitegemea mfumo wa nida usiishie tu kutoa ID bali uwe ndio mfumo mama wa kulisha taarifa kwa mifumo mengine ya serekali. Ni aibu mpaka Leo NIDA haisomani...
  6. Daole

    Kuna ongezeko la shilingi ngapi kwenye take home kutoka TGTS C mpaka TGTS D?

    Kupanda daraja ni jambo moja lakini kubadilishwa mshahara wako wa daraja jipya ni jambo lingine kabisa. Kwa uzoefu waulize waliopanda madaraja mwaka wa fedha 2015/2016 mpaka Leo wanasaga meno
  7. Daole

    Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Kaimu Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira, UNEP

    Ukifanya kazi kwenye mashirika UN AU EAC SADC etc unakuwa na exemption ya work na resident permit.
  8. Daole

    Nipo China lakini siwezi kutumia simu, social media, google na YouTube

    如果你来中国学习,不喜欢在社交媒体上露面。
  9. Daole

    Changamoto za uke wenza

    Mkuu hao ndio wanawake wasikusumbue sana usikute mleta mada anadate na mume wa mtu
  10. Daole

    Changamoto za uke wenza

    Mwanaume mwenye uwezo na akawa na mke mmoja ni kukosa uadilifu. Kilichotekea kwa Adam ndicho anachokitaka mleta mada ili amgande, ampelekeshe na kumpoteza mumewe kama alivyofanywa Adam. Adam angekuwa na wake wengi ile siku angekuwa kwa mke mwengine yule bibi asingempotosha. Hadi hv Leo...
  11. Daole

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Ushauri wangu kwa TFF. 1. Vunjeni mkataba na benchi la ufundi ili muokee hela mnazowalipa mishahara 2. Vunjeni hio timu ili wachezaji warudi kwenye kalabu zao wacheze kwa amani bila ya kuharibu na kupangua pangua ratiba ya ligi 3. Katika mechi dhidi ya Uganda wapeni nafasi wale watoto wa u17...
  12. Daole

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Wawaonee huruma ili wafungiwe na kupigwa fine na caf kwa kupanga matokeo. Waje tu wawaburuze ili kupata muda mzuri wa kulumbana simba na yanga
  13. Daole

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Yaani hapo ndio wamekaa kambi SA siku 10 je wangebakia bongo?
  14. Daole

    Kwanini Tanzania tuna Majeshi aina nyingi; Nijiunge lipi?

    Kiukweli katiba yetu haukuweka tafsiri ya Jeshi ni nini. Badala yake imejumuisha neno jeshi kwa maana ya Idara zote za ulinzi na usalama zilizopo wakati wa marekebisho ya mwisho ya katiba na zitakazoundwa baadae kwa mujibu wa sheria bila ya kubagua baina ya Idara ya ulinzi na Idara za usalama...
  15. Daole

    Eti mwanangu wa darasa la nne apewa homework "who is Richard Turbull"

    Kweli mkuu. Kama kuna haja ya masomo ya historia kwa watoto wetu basi waanze kusoma historia kuanzia awamu ya kwanza hadi ya nne. Ili wapate kujadili na kuona mazuri na mabaya tuliyofanya wazee wao na kusababisha taifa letu mpaka leo kuwa maskini. Kuna mengi tumepitia na yanahitaji watoto wetu...
  16. Daole

    Uhamiaji watoa ufafanuzi kukamatwa wanahabari Wa CJP

    Kwa uzoefu wangu mdogo wa beach boy naomba nisaidie kidogo. Ordinary visa ina category tofauti na mgeni akiruhusiwa kuingia nchini huanishwa ruhusa yake ipo kwenye kundi gani la ordinary visa. Kwa maelezo zaidi pitia hii SINGLE ENTRY VISA (ORDINARY VISA) This Visa is issued for a single entry...
  17. Daole

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola

    Siku itakayotekea JWTZ, TISS na POLISI wakawa na maslahi na heshima iliyo sawa NAKUOMBA uniamshe ili niepukane na ubaguzi wa (kipuuzi) ambao naamini ndio ukweli na uhalisia wa mambo yalivyo.
  18. Daole

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola

    Kwa akili ya kawaida kabisa mm nafananisha (mfano usio rasmi). JWTZ = Madaktari TISS = Mainjinia POLISI(na ndugu zake) = Walimu Haingii akilini kwa hizo kada 1. Kufanya mafunzo yalio sawa 2. Kupata maslahi sawa 3. Kuwa na hadhi sawa kwa watendaji wake, na 4. Kupata heshima iliyo sawa katika...
Back
Top Bottom