Search results

  1. Fabolous

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Hapa Kinamyuba wamesepa nao
  2. Fabolous

    Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Mimi nilipata namba ya simu ya mtandao fulani , kila mara natumiwa sms za taarifa za miamala ya Benki, transactions za US $ .
  3. Fabolous

    Madhambi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ndio hulka zao zinafanana ndio maana sasa hivi wapo Mbinguni wakifurahia utukufu wa Mungu.
  4. Fabolous

    Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Ipo pia kwenye njia ya Singida Babati. Ramani ni hiyo hiyo nadhani Taasisi iliyofadhili ni moja.
  5. Fabolous

    Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Habari za kuaminika ni kua, mama ndio ameomba appointment kwa Papa Francis . Vatican ndio wamemkubalia ombi
  6. Fabolous

    Ni ngumu sana watu wote kupenda kitu kimoja

    Mimi siwezi kuangalia bongo movie, sio mfatiliaji wa bongo flava, ligi kuu ya Tanzania na Africa.
  7. Fabolous

    Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Pia hao mbwa wanahitaji kuchangamshwa kama kutembezwa nje wakiwa wamefungwa ili wasiboreke. Wakiboreka wanapagawa ndio majanga
  8. Fabolous

    Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Kila mara tunasema humu bulldogs, Rotty, sio mbwa wa kufuga wana tabia ya kupoteza kumbukumbu. German shephards ndio mbwa wa kufuga.
  9. Fabolous

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Hicho kitu tumekiona. One man down, !
  10. Fabolous

    Kumbe kazi ya Polisi inalipa sana, sio njaa kama watu wanavyoisema

    Yes naona ndio hizo posho anazozungumzia mtoa mada., kupiga mizinga wateja wa ATM
  11. Fabolous

    Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Uliingia Ukatoliki kwaajili ya Papa? Kuna mapapa zaidi ya 200 walikalia hicho kiti anachokalia Papa Francis. Sio wote waliofata mafundisho ya Biblia, wengine walikua mamluki.
Back
Top Bottom