BOT chombo huru ktk utendaji wake. Km una mda unaweza kugoogle independence of central bank....Gavana ndio final say ktk usimamizi wa banks na sera za uchumi. Waziri ana mamlaka katika fiscal policy tu!!!!
Ni sukari tamu hasa kwa sisi wanafunzi maskini tuliokosa mikopo ksbu elimu ya juu ni anasa na ufusadi mtupu. Watoto wa wanyonge wakachunge ng'ombe kijijini!
Very well said mkuu! Mm nashangaa tunavyolipokea hili suala kwa hisia, kwani ni nani aliesema tatizo la ATCL ni kutokua na ndege? Na ndio maana inashauriwa serikali isijiingize ktk biashara.
Soko letu liko tofauti sana.....unaweza kuamini baada ya serikali kutangaza kuondoa fedha zake ktk mabenki CRDB ikiwa mnufaika mkubwa lakini matokeo yake share za CRDB sokoni zinapanda!!!!!!!!
ni kwa sababu banks zinatakiwa kisheria kureport pale panapokua na wasiwasi mteja anajaribu kuficha chanzo cha fedha zilizopatikana kwa njia chafu au pale banki inapokua na wasiwasi kua fedha zinalenga kuchangia au kufadhili ugaidi.Na mojawapo ya viashiria ni hiyo ya akaunti kupita kiasi ambacho...
Ujue hapo ndio nyumba zinapotofautiana. Kitasa cha 60k ni anasa tuu. Kuna vitasa imara vya kuazia 15k mpaka 25k na viko poa tuu. Finishing inategemea budget ya mtu na nyumba haaiishi kujenga kwaiyo finishing itaendelea hata baada ya kuhamia.
Pakiwa na grades ndio ile inafanya watu wanalipwa sawa regardless ya ufanisi au aina ya kazi so long as ww ni CEO unalipwa kiasi fulani. Tutashindwa kuattract watu wazuri ksbu tuu hawatakua tayari kupokea malipo ktk grades fulani. Imagine benki inayomilikiwa na serikali inatafuta CEO na grades...
Wanapitia wakati mgumu sana sasa ivi kifedha (nikimaanisha liquidity) sio wanaishiwa ktk ATM ni wanamanage liquidity yao kihuni hawana maana. Haiwezekani ATM nyingi kiasi hicho zinakosa hela kila j2 haijalishi mwanzo wa mwezi au lini.
Excellent point! Halafu kitu ambacho watu hawakifahamu ni size ya benki ya Mkombozi. Hii benki ni ndogo sana kwa aina ya miamala iliofanya ktk hii kashfa. Hela ya Ruge ilikua kubwa kuliko total assets za mkombozi. Hawakupaswa hata kupokea kiasi icho. Najaribu kufikiri iyo siku wamepokea deposit...
Sasa askofu amejua kuwa pesa hizo sio safi ksbu palikua na ukwepaji kodi (tax fraud) anasuburi nini kurudisha fedha kidogo kiasi icho. Ni aibu kwa askofu wa kaliba ya Kilaini kuendelea kukuaa kimya. Ni sh. 80 million tuu. Arudishe kwa heshima yake na kanisa.
Issue ya charges haiwezi kutatuliwa na idadi ya mabenki, in fact tunachoitaji ni kuwa na sheria za kumlinda mteja katika huduma za kifedha. Ukosefu wa sheria hii ndio unaotoa mwanya kwa mabenki na hata taasisi nyingine za fedha kucharge wateja isivyo sawa. Kwa sasa bot inayalazimu mabenki...
Unajua pamoja na uzuri wake hili jengo halina parking ya kutosha? Kulikua na plan ya kuwapatia TRA one tower ili wabadilishane na jengo la TRA just opposite waweze kujenga parking. What a poor planning?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.