Search results

  1. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    dokta chanjo ya rota hajapata kwa mujibu wa mama mtoto maana mm ni baba mtoto. choo cha mtoto ni cha chenga chenga cha njano mtoto hati kula kabisa kwa hiyo pale una mlazimisha anakuwa ataka kujitapisha chakuja chake hasa ni uji lishe viazi mchanganyiko ndizi na ugali. meno amesha ota ila...
  2. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    samahani ulitibiwa hospitali gani daktari yupi nipe mwanga au hata dawa ulizo tumia msaada tafadhali sielewi cha kufanya
  3. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    ndio anahalisha ila ameanza juzi kuhusu kutapika ni hadi pale unapo mlazimisha kula anakuwa kama anajitapisha maana hataki kula kabisa. chanjo ya rota hajapata ila kwa mujibu wa kadi yake chanjo zote kapata vipele hana ndio anakohoa meno yamesha ota tayari utosi upo juu tatizo...
  4. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    shukrani mkuu ila moja ya dawa ulizo tumia unaweza niambia pia hata kwa daktari ulipo enda wewe unaweza niambia pia
  5. Baraka sheni

    Msaada juu ya mtoto nimehangaika hospitalini bila mafanikiao

    Poleni na majukumu. Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo haliishi. Vipimo walivyokuwa wakichukuwa :: MRDT URINE RBG FBP Dokta alisema ana maambukizi kwenye...
  6. Baraka sheni

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu mwenye mkeka wa leo nijaribu namm
  7. Baraka sheni

    Namna ya kupata ajira nchi za nje

    Wakuu poleni na majukum . katika pita pita za mitandaoni nimeona baadhi ya nchi zikiwa na uhitaji wa wafanyakazi hivi ni nchi gani huwa wanachukua wanyakazi tz hata wale vibarua wa mashambani. je taratibu zikoje ili niweze kufanya kazi huko.!? msaada tafadhali
  8. Baraka sheni

    Tunahitaji Welder/Fabricator pamoja Foundry Technician, nafasi tatu ( 3 ).

    mkuu naomba kuwa fundi msaidizi mkuu nina idea ya welder naimani baada ya mda mfupi nitakuwa naweza kumudu majukum kikamilifu.
  9. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    0694185384
  10. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    bado kipo karibu
  11. Baraka sheni

    INAUZWA Jipatie pasi used kwa bei sawa na bure

    PASI HIYO INAUZWA KWA 20000 UNAJIPATIA PASI HAINA TATIZO LOLOTE KAMA UNAVYO IONA. IPO TEMEKE KIJICHI. 20000 TU MAONGEZI YAP contact 0694185384 O
  12. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa. BEI 80000 MAONGEZI YAPO. KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384 KITI KINA PANDA NA KUSHUKA NI KIZIMA KABISA. KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
  13. Baraka sheni

    Kiti cha saluni kinauzwa

    hapana kinarekebishwa na kwa hivyo kilivyo ni 90000 bosi karibu
  14. Baraka sheni

    Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

    mkuu napitia magumu nimesha poteza kila kitu nisaidie mwanga nifike kwa padri 0694185384
Back
Top Bottom