Search results

  1. C.Thady

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Ni dawa gani ya asili au ya hospital inaweza tumika kutibu yatizo la kutoka kitu kama uvimbe njia ya haja kubwa pamoja na kutoka damu sehemu ya haja kubwa .
  2. C.Thady

    Anayefahamu taarifa kuhusu hili Shirika. TASE & CASE

    Habari za jion wana JF wote.... kwanza napenda kuwapa pole kwa uchovu wa wiki nzima. Swali langu ni kama nilivyoandika hapo juu... je kuna mtu yeyote ameshawahi sikia au kufahamu kuhusu moja kati ya mashirika haya. TASE (Tanzania Skills Empowerment) Au CASE (Canada Skills Empowerment). Na je...
  3. C.Thady

    Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

    Hahahahha nimecheka sana
  4. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Asanteh
  5. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Mimi sijali utasemaje.... simu niliiangusha na sio kwamba mtu aliniibia...... na niliwachukua askari ninao wafahamu so nia yangu kubwa ilikuwa kuipata simu na sio kumuweka ndani alieiokota maana pia alieiokota amekuja akasema hakuna shida
  6. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Yani acha tu
  7. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Kabisa
  8. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Asanteh sana Mungu ni mwema
  9. C.Thady

    Simu inatafutwa iphone 6plus

    Nimechukua laptop ya Apple kwa best yangu hapa then tukaingia find my iphone kisha akafungua icloud na ku login kwenye ID yangu... then tukaona last location ya simu ilipo. Then nikaweka na Imei number ya simu pia.... kwa phonw finder nikaiona ilipo so. Nilichofanya ni kuchukua polisi na kuenda...
  10. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Hehehe Asanteh. Nimeshaipata jioni hii
  11. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Nimeitrack kwa kutumia icloud na imei . Simu nimeikuta ipo kwa fundi ndio Tanga mjini. Ila nashukuru Mungu nimeipat.
  12. C.Thady

    Simu inatafutwa iphone 6plus

    NAMSHUKURU MUNGU SANA NA PIA ASANTEH WOTE KWA USIRIKIANO. NIMEIPATA SIMU YANGU MUDA HUU . SAA KUMI NA MBILI NA DAKIKA 11.
  13. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    NAMSHUKURU MUNGU NA PIA ASANTENI WOTE . NIMEFANIKIWA KUIPATA SIMU YANGU MUDA HUU.
  14. C.Thady

    SIMU UNATAFUTWA. IPHONE 6SPLUS

    Habari wapendw. Nipo Tanga mjini mtaa wa Kange nimeangusha simu yangu aina ya iphone 6splus ya silver ina kava la gold jana tarehe 26/01/2018 saa tano asubuh mtaa wa kange kasera. Ipo na icloud protection na tumejaribu ku track ila mpaka muda bado imezimwa hivyo Kama kuna yeyote aliyeiokota...
  15. C.Thady

    Simu inatafutwa iphone 6plus

    Habari wapendwa nipo Tanga mjini mtaa wa kange nimeangusha simu yangu aina ya iphone 6splus ya silver ina kava la gold jana tarehe 26/01/2018 saa tano asubuhi mtaa wa kange kasera. Ipo na icloud protection na tumejaribu ku track ila mpaka muda bado imezimwa hivyo Kama kuna yeyote aliyeiokota...
  16. C.Thady

    Kwenye hii picha wewe umeona nini?

    Heheh shuzi limepata mjambaji... Shosti hajafunga mkanda jamaniii .
  17. C.Thady

    Matokeo Ya Kidato Cha Sita ACSEE 2017/2018

    Msiwena papara Mungu asaidie tu mambo ya grades isiwe ya kusumbua kama kipindi cha nyuma
  18. C.Thady

    Faida ya kunywa maji mengi kila siku!

    Hiyo ni editing tu... Nilikutana nae maeneo flani hivi jijini... Aah wala sio mweupe sana kama anayoonekana kwenye picha. Ana weupe wa wastani tu .
  19. C.Thady

    Kijana wangu anamaliza degree nchini Malaysia. Ushauri naomba

    Atafute tu kazi huko huko au aangalie nchi zingine anazoweza pata kazi ... Huku Tz kiajiriwa shida labda ajiajiri
Back
Top Bottom