Search results

  1. M

    Wastaafu wote ambao mnazungushwa kulipwa mafao yenu na PSPF tukutane hapa, ili kushinikiza malipo!

    Hata ikiwapigia simu kwa namba za huduma kwa wateja wanakuletea ngonjera ndefu iliyorekodiwa mpaka mwisho inakatika. Malipo ya miezi mitatu haina ratiba ya kueleweka.
  2. M

    Kuwashwa mikono na kuchezwa na macho (kulia au kushoto)

    Hili la kuwashwa na kutokewa na yaliyosemwa kwangu ni asilimia mia moja kwa mikono ila jicho la kushoto ndilo huashiria habari mbaya na kulia habari njema
  3. M

    Wastaafu - Kuongeza ubora wa maisha

    Nashauri tuanzishe chama cha wastaafu ndicho kitakuwa chombo cha kutetea maslahi yetu na kishairi wasyaafu watatajiwa. Natamani tujiorodheshe humu na tuliwa idadi nzuri tupange tikutane tichague uongozi wa muda.
  4. M

    Makazi ya Makongoro ni kielelezo tosha kuwa haijui Rushwa, jionee mwenyewe!

    Ccm yenyewe imeshtuka na imeanza kujikomba kwa Lowassa. Tazama jinsi walivyohangaika kumtambilisha wakati wa kumuaga marehemu Eugen Mwaiposa. Kila aliyezungumza alimtaja wa kwanza kama waziri mkuu mstaafu na siyo waziri mkuu aliyejiuzulu. Aibu tupu!!!. Wanaanza kujisafisha. Pinda alipoingia...
  5. M

    General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    Kumbukeni pia viwanfa vya Tanga.cha nondo , cha mbolea, cha mbao, foma nk
  6. M

    Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    Mbona naona ni matunda samaki wako wapi?
  7. M

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Pspf itujibu kulikoni?
  8. M

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Wacha polisi wafanye kazi yao. Isijalishe ni Gwajima wala pengo. Uchunguzi haujali ni nani na hakuna kesi bila uchunguzi kupata ushahidi. Ukishajiingiza mikononi mwa polisi wana haki ya kukuchunguza
  9. M

    Tangazo la Jaymillions lina kasoro

    Wizi wa wazi serikali si iko likizo kungojea uchaguzi mkuu? Voda endeleeni kuvuna wajinga ndo waliwao. Wagambire stupid mbele ya wife zao
  10. M

    Watu wamiminika kwa wingi kwenda kupata utajiri wa haraka Meatu - Simiyu

    Ukifika huko salama ushukuru mungu maana ajali za mabasi mmmhhh,! Tena unaenda kwa mambo ya kishirikina!!!!!
  11. M

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Wastaafu wengi wa mfuko hii wa pspf hatujalipwa kuanzia mwezi wa 12 na kama unabisha basi wewe siyo mstaafu. Nillitakiwa niwe nimelipwa miezi mitati kuishia february lakini sikulipwa nikiulizia naambiwa kuna technical problem. Tutakabiliana nao kwa maandamano mei mosi! Wastaafu tufike kwa wingi...
  12. M

    Hatimaye Kikwete amsamehe Deus Mallya...

    Serikali imewasamehe hao. Nilitegemea kusikia Kikwete kamsamehe babu seya
  13. M

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Kwani hayo majeshi ya kenya yanayofanya operesheni somalia askari wake ni wakristo? Kama wapo pia waislamu inakuwaje wabague kuia wakristo? Naamini waislamu ni katili na wenye wivu mkubwa
  14. M

    Star TV acheni upotoshaji kuhusu Mahakama ya Kadhi

    Tunasema anzisheni msianzishe ni juu yenu lakini si kazi ya serikali. Nashauri muanze kujenga na kuainisha mahakimu wenu. Hii itapunguza pia msongamano wa kesi kwenye mahakama zetu. Na adhabu za kukatana vichwa zifanyike kwenye mabucha maalumu kama vingunguti na siyo porini kama wanavyofanya...
  15. M

    Nauli za treni ya Deluxe kuanzia Aprili 01, 2015 Dar-Kigoma/Mwanza

    Bora yamepakwa rangi huko hiko. Kwani iliwahi kuona treni tulizorithi kwa mkoloni zomepakwa rangi?
  16. M

    Kauli nyingine tata ya Kikwete hii hapa

    Anatafuta mchumba labda ndo maana anawaita wasichana ikulu. Kwani hakuma wavulana waalimu wanaotafuta kazi?
  17. M

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Mboro sururu nilikuwa naye JKT makitopora operation mapambano 1976
  18. M

    Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Hiyo ya blogger mbona haichangiwi? Watz wengi wanaojihusisha humu jf wana elimu ya kiwango cha chini. Na ndiyo maana naona michango kwa mada hii inapindapinda
Back
Top Bottom