Search results

  1. K

    Kuna dalili moja tu E. Lowassa kuhamia Upinzani

    Kwasasa tumia zaidi jina la ukawa, usitaje chama, maana tuko katika umoja huo uliotukuka.
  2. K

    Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

    Tehe ha ha ha ha ha, umeshindwa kunijibu, umeumbuka tayari, kwaheri.
  3. K

    Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

    Ebu fafanua hiyo sheria inasemaje kwa manufaa ya wengi, kama hujaumbuka.
  4. K

    Aina za sumu ambazo Madaktari hawawezi kuzitambua

    Waafrika huwa watu wa ajabu, kwanini sasa msiadvance mkatengeneza chemical weapons. Mnaishia kurogana tu.
  5. K

    Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

    Mwanangu hii ni taaluma ngumu sana, kwanza jikinge na maralia.
  6. K

    Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

    Duh! Maswali ka mtoto vile, una umri gani hivi.
  7. K

    Tumuenzi Edward Saidi Tingatinga

    Ahsante mkuu, kumbe kafa zamani ase, maana hii michoro ina umaarufu hata hivyo.
  8. K

    Tumuenzi Edward Saidi Tingatinga

    Kweli kabisa mkuu umesema kweli, leo hii pia tunaona kazi hiyo ikiendelezwa na vijana wengine kule oysterbay kama sikosei. Kumbe muasisi wake ndo huyu said, je bado yupo?. Mi pia napenda kujifunza kazi hizi za mikono, je naweza jifunzia wapi mkuu??
  9. K

    Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

    Huna nafasi kwa maana unachumba kidogo hivyo hamtatosha au huwezi mpatia kazi.
  10. K

    Sababu zinazoifanya Tecno iwe kampuni isiyojitambua/kujielewa

    Kama mi mkuu najisikia raha sana na tecno yangu H6.waache wao simu zao.
  11. K

    Sababu zinazoifanya Tecno iwe kampuni isiyojitambua/kujielewa

    Ase hivi kuna team hadi kwenye simu? Hii Kali.
  12. K

    Mambo kumi usiyoyajua kuhusiana na bar zenye guest

    Hiyo si imebadilishwa jina, nadhani kwasasa ni kisuna bar, uenda mmiliki ni mwingine. Hapo ni kama kimboka.
  13. K

    Afungwa jela kwa kosa la kupiga kelele wakati akifanya mapenzi

    Kutokana na kelele ambazo tumezizoea hasa si tunaokaa uswahilini tanzania, hii sheria haiwezi kuwa implemented, labda maeneo kama oysterbay, mikocheni. Lkn yafaa itumike kwenye nyumba za kupanga itafaa.
  14. K

    Kuna siri gani kwa hawa washehereshaji wa watia nia Urais?

    Nimekuwa nikajiuliza kuna siri gani kutumika hawa washehereshaji kwa watia nia. Kwa Edo alikuwepo Kibonde, jana kwa Sumaye alikuwepo kubenea n.k n.k. Naomba mnijuze au nyie mnaona hili limekaaje, thanks.
  15. K

    Wabunge wa UKAWA kufanya mkutano mkubwa Dodoma leo

    Ukawa wako makini, wana acha tu jamaa wasogee golini, watapoanza mashambulizi ndipo mtakapojua.
  16. K

    Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

    Lkn walikuwa wapi kulidhibiti hawa jamaa??,nasikia sasa limekuwa na manyoya mwili mzima na limeota pembe kama za nyati!!, hata ukiwa umejificha ukiliongelea lina pata taarifa na linatoa mrejesho hapo hapo.
  17. K

    Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

    Duh,mbavu zangu mieee, kitakachofata je? Hii hatari.
  18. K

    Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

    Kifupi ni kwamba amechanganyikiwa.
  19. K

    Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

    Ni vizuri, lkn mkihama humo nendeni mkajenge nyumba nyingine na muipe jina jingine na rangi nyingine. Kisa Msali na kuomba toba nyingine na mbadilishe aina ya ufugaji uwe ufugaji mwingine kama wa north Korea au China, fateni ushauri huu msifate mwingine.
  20. K

    Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

    Ana nguvu ya pesa, lkn sio yakupendwa.
Back
Top Bottom