Search results

  1. K

    Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

    Katika siku za karibuni ccm imekuwa ikilaumiwa kutumia wasanii kuvutia watu wahudhurie mikutano yao. Kwa mtazamo wangu hata vitabu vya mungu vinasema siku ya mwisho kabla ya watu kukusanyika kutapigwa parapanda (mziki huo). Kwa hiyo ccm wamatumia njia sahihi kuvuta watu. Himo hata kwenye maandiko.
  2. K

    Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

    Ndiyo maana ukaambiwa huyu mama kichwa.Nimavyojua Mimi MTU kichwa anaweza kufanya zaidi ya jambo moja kwa wakati.
  3. K

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    Ona live bunge la katiba "http://startvtz.com/startv-live/"
  4. K

    Jaji Warioba: Nani anayeijua zaidi Migogoro ya Muungano huu Kati ya Majaji na Wanasiasa?

    Mh ndugu yangu ongea kwa taadhari. Pengo naye darasa LA saba. Tatizo hamtaki kusema ukweli,ni mfumo kristo ndiyo hautaki Serikali tatu.ndiyo maana chadema kama chama kipo kimya.
  5. K

    Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    Kweli jana Tundu Lisu alishikwa pabaya mpaka akaomba kesi iendeshwe kwa kiswahili.Chezea msomi Sando, kapiga yai tundu lisu akawa anaona nyota tu.Jana niliamini kweli Lugha ya majahazi ni wito.
  6. K

    Kwa mujibu wa rasimu ya ii ya katiba, tume huru ya uchaguzi itatumika uchaguzi wa 2020

    katika sehemu ya sita, Masharti ya Mpito ya rasimu ya katiba, Inasema kutakuwa na muda wa mpito utakaoisha tarehe 31/12/2018.Katika muda huo kutafanyika maandalizi muhimu ya utekelezaji wa katiba mpya. Na katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa kupokea Rasimu hiyo, Rais Kikwete alisema...
  7. K

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Mbona huyu afande kwenye picha ya chini kaziba pua
  8. K

    Zitto aonyesha utayali wake kuchukua nafasi za juu za nchi kama urais au uenyekiti wa chadema: .

    Sijawahi kumsikia mbowe wala Padri Slaa kuzungumzia mpira.Hii inaonyesha zitto ana uelewa mpana wa mambo mengi.Siyo kashfa za ufisadi.Ni hili la uelewa mpana wa mabo mengi ndiyo sifa ya kiongozi bora
  9. K

    Zitto aonyesha utayali wake kuchukua nafasi za juu za nchi kama urais au uenyekiti wa chadema: .

    zitto Kabwe azungumzia mchezo wa soka ( www.shaffihdauda.com ) - YouTube
  10. K

    Inawezekana timizeni wajibu wenu kwa watanzania

    Hapa ni baada ya mtifuano wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema uliopita.hii inatuonyesha kila kitu kinawezekana kwenye kwenye siasa.
  11. K

    Kwanini Waziri Wa Fedha Asiombwe Kujiuzuru, kama...

    Ndugu yangu mjengwa tatizo la nchi hii ni unafiki.Hawezi kupewa shinikizo lolote kwa sababu ya mfumo kristo.pole sana mjengwa hapo kama unatwanga maji kwenye kinu.
  12. K

    Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Mh asije akatuletea usanii kama wa Mbowe.Alikataa gari la kiongozi wa upinzani alafu akaenda kulichukua kinyemela.
  13. K

    Katiba yaunganisha vyama vitatu na Taasisi za Kiislamu ...picha

    Mbona naona mbowe naye yupo kwenye picha.Kweli mfumo kristo upofusha watu na madegree yao.
  14. K

    ...Mchezo Wa Vita Una Umri Wake…!

    Mjengwa nimekuelewa sana.Nchi nyingi Afrika zenye mali asili kubwa huwa zinakuwa na vita mfano Kongo wao wana dhahabu,shaba,almasi,uranium etc, Angola Mafuta, sudan mafuta, Libya mafuta.Mabwana wakubwa wa dunia kama Marekani na nchi zingine za ulaya ndiyo wachochezi wakubwa wa mifarakano Afrika...
  15. K

    Obama atembelea mitambo ya Symbion|Ubungo na Kisha kusafiri kuelekea US

    Hii si mitambo iliyokuwa inaitwa "Dowans".Tuliambiwa mitambo mibovu wakati inamilikiwa na muislam.Sasa inamilikiwa na wakristo symbion mitambo safi na humu kwenye jamvi kimya.Kweli mfumo kristo mbaya sana hata huwe umesoma hadi PHd unakutia upofu.
  16. K

    SERIKALI: Hatimaye Yathibitika Kuwa ni Kweli Serikali na CCM Walishaagiza Polisi Kupiga na Kuua Raia

    Tulieni tu.Wakati waislam wanapigwa nyie si mlikuwa mnashabikia.sasa zamu yenu kupewa kichapo kelele nyingi.Waswahili wanasema "Kiboko alichochapiwa mke mwenzako ukikiona ukitupie mbali,maana ipo siku kitakurudia mwenywe"
  17. K

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Mh ya kenya ina mahakama ya kadhi hii aina.wala hawajacopy
  18. K

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Hiyo ni video ya kutengenezwa kama vile ilivyotengenezwa video ya kigaidi ya Lwakatare
  19. K

    TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    Kweli chuki mbaya.Hawa watu wa takukuru wameuana wenyewe kwa wenyewe kwenye pombe zao sasa mlitaka usalama wa taifa ukataze watu kunywa pombe.Mfumo kristo unawapunguzia watu uwezo wa kufikiri.Magufuli kaenda kwa Laila kenya kelele.Sasa mbowe kaenda kimyaaa.
  20. K

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    mimi naamini yote kama mtu ,upadiri ulimshinda hawezi kuwa muadilifu.kweli mungu mkubwa yaani huyu ndiyo angekuwa rais
Back
Top Bottom