HALI YA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA BADO IMARA
Utangulizi
Jukumu la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii ni
kusimamia Sekta ya Hifadhi ya Jamii. Ili kutimiza azma hiyo kifungu 135 cha Sheria
Na. 5 ya mwaka 2012 kinaipa Mamlaka jukumu la kufanya Tathimini kila...
Sheikh Khalifa Khamis ameendelea kuibua na kujibu hoja mbalimbali katika makala yake katika gazeti la Mizani katika muendelezo wa makala zake kuhusu manun’guniko ya waislamu kutengwa katika teuzi mbalimbali katika seriali ya JPM.
Akijibu baadhi ya hoja hizo, amesema kuna watu wanadai mbona...
Katika gazeti lake la juzi Ijumaa,Sheikh Khalifa Khamis alijibu tuhuma zilizoelekezwa kwae kuwa ni mchochezi kufuatia andiko lake kuhusu malalamiko ya kutenga katika teuzi za Mh Rais kuadhimisha mwaka wake mmoja tangu aingie madarakani.
Sheikh anadai kuwa kuna tofauti kati ya ukweli na...
Mtoa mada unaongea kinyume chake. Zanzibar imetoa mawaziri wachache sana ulilinganisha na mabaraza ya Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Mawaziri ni wawili tu hapo nao ni Mwinyi na Mbawara huyo Masauni ni naibu waziri. Kwa hesabu ya kawaida tu 2 huwezi kuita "wengi" labda ulimaanisha wachache. Kajipange...
Mtu anasema waziwazi atatumia zaidi ya 200+ kuhakikisha jimbo linabaki halafu mnashangilia! Ndio mnajipambanua kama "wapiganaji" kweli tuna safari ndefu kupata viongozi waadilifu
watu tunazunguka bure aliepitisha IPTL wajenge kunduchi ni waziri mkuu mstafu sumayi mwaka 1976 kulikuwa na ukame mabwawa ya kufua umeme yalishindwa kuzalisha umeme mwaka 1977iptl wakaanza ujenzi na mwaka 1978 ikaja elnino kwa maana hiyo alieruhusu hiyo iptl ni sumayi kama waziri mkuu miaka hiyo...
Ili kuwe na Ukawa lazima mgombea awe Padri au mkristo kinyume chake hakuna Ukawa. Bado mnadhani mtaendelea kuwa hadaa waislam kwa uongo wa mchana kweupe.
Kwenye Mahakama ya Kadhi Ukawa wa kikristo hautaki kwenye mgombea Padri poa
Hata mkitumia Jiki huyu Mama hasafishiki. Kigugumizi na makengeza ya nini Mama kakiuka maadili ya kazi ya umma huwezi kuingiziwa 1.6bn mtumishi wa serikali bila kuzi declare sehemu husika. Kama utetezi ni za shule zingeingizwa a/c ya shule acheni mapenzi ya kijinga.
Kafananisha na Askofu Kilaini...
Sahihi kabisa!
Mwakyembe: Be keen on railway line gauge
Tuesday, 28 August 2012 22:40
By Alex Bitekeye
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. In a bid to make it more productive, the Railway Transport Advisory Committee (RTAC) has been...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.