Search results

  1. Lu-ma-ga

    CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Mbona sasa mmegeuka mamluki wenyewe kwa wenyewe.Sasa hivi viongozi wenu ni makada wa CCM kutwa wanalamba asali.Yaani CCM ihangaike kuiua Chadema???? Lichama mnalikata shoka wenyewe kwa ulafi wa asali
  2. Lu-ma-ga

    Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Bado unahangaika kukata Jiwe kwa panga, kweli ndezi hawawezi kuisha.Magu hawakujua kuchafuka kirahisirahisi Tena na watu kama wewe
  3. Lu-ma-ga

    Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Yaani mnalea watoto trgemezi, baba akiwa mkurugenzi basi familia nzima ni wakurugenzi.Hongera sana Magufuli alilea watoto kwa mentality ya kujitegemea.Ndiyo maana Mzee akaja na slogan ya Hapa KAZI TU
  4. Lu-ma-ga

    Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Kwani wewe ndiyo unapanga mafanikio ya familia ya Magu kwa taarifa yako watoto wa Magufuli ni vichwa Ndiyo maana siyo chawa.Chezea msukuma wewe, hawajikombi kwa mtu.Wale ni wafugaji na wakulima hawana shida.Watoto wa Magufuli wanalamba asali ya kutokana na ufugaji wao, siyo wengine kutwa nzima...
  5. Lu-ma-ga

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Rudia kusikiliza hotuba ya Mbowe alipotoka gerezani, alikiri kwamba 3/4 ya wabunge wa chadema 2015 walitoka kanza ya ziwa, na waliongoza 1/3 ya halmashauri zote za kanda ya ziwa. Ngome ya ccm?????? acha basi ulongo
  6. Lu-ma-ga

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Usiishi kwa kukariri, kila zama na kitabu chake.Utakuja kushangaa siku ikiwa tofauti
  7. Lu-ma-ga

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Uongo wa mchana wewe hauko kanda ya ziwa, kanda ya ziwa ni eneo la machimbo ya dhahabu na almasi, wachimbaji walikuwa wanafukuzwa kama sio watanzania, walikuwa hawajui pa kuuza dhahabu wanapoipata, ilikuwa dhuruma, kuja kwa masoko kila mmoja anauza kwa muda wake, MADIGALA hawana tena nafasi...
  8. Lu-ma-ga

    Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

    Wewe ndiyo unadanganya kanda ya ziwa officially ina idadi ya watu 18milion out of 60imllion, jinyonge hamna jinsi
  9. Lu-ma-ga

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Magufuli alipokuwa anatumbua mliona hamnazo lakini aliwajua type hii ni majipu.Huyu alikuwa balozi wetu hapo Kenya, Magu alikula kichwa.
  10. Lu-ma-ga

    CHADEMA msibweteke na vikao na CCM, nguvu ya kudai Katiba iongezeke

    Nawewe umeshapata sindano ya usingizi kama Chair person wako.Kweli Chadema hamnazo
  11. Lu-ma-ga

    CHADEMA mnanipa wakati mgumu, niacheni niwe mwanaharakati huru

    Umenena vema kabisa. Sasa hivi tumehamia Maria space na club house
  12. Lu-ma-ga

    Mchezaji wa PSG ya Ufaransa, Ander Herrera atua Mbuga ya Serengeti kutalii

    Mbona hata Van Nestroy aliwahi kuja, mchezaji wa Liverpool alikuja mwaka jana hadi akaonana na rais Mwinyi. Serengeti inajitangaza kila mwaka kupitia wapiga kura wanaopigia vivutio bora duniani tangu 2014 Wadanganye wasiofuatilia mambo ya kidunia
  13. Lu-ma-ga

    Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

    Sababu ni kwamba wengi wao ni watoto wetu. Esther Bulaya, Esther Matiko wote kutoka mkoa wa Mara, Salome Makamba kutoka Shinyanga. Taja wengine toka Kanda ya Ziwa
  14. Lu-ma-ga

    Si Profesa Edward Hosea tu, Kanda ya Ziwa imejaa viongozi makini

    Huo ndiyo ukweli rais wa taasisi yoyote ili ashinde lazima Lakezone itoe endorsement.Uliza yule wa TFF, TLS na wa JMT .Haaàaaa ndiyo ukweli
  15. Lu-ma-ga

    Si Profesa Edward Hosea tu, Kanda ya Ziwa imejaa viongozi makini

    Wanaharakati uchwara hoi.Samaki aina ya sato, sangara na Kamongo na pia dagaa aina ya furu hazijawahi kufeli kuimarisha ubongo wa wana Kanda ya ziwa.Mahongera ndugu Ng' wanaHose
  16. Lu-ma-ga

    Profesa Edward Hosea rais TLS, awabwaga wakili Mtobesya na Harod Sungusia kwa kishindo

    Safi sana Rais wetu, Kanda ya ziwa kuna vichwa aisee, wanaharakati wa chadema wajifunze kuwa kuna brain bhana
Back
Top Bottom