Search results

  1. Miss Ritah

    Msaada jinsi ya ku unlock Tecno SA 1 yangu tafadhali

    Nahitaji msaada wa hivyo ndugu zangu najua humu hakishindikanagi kitu. Tecno SA1 unlocking imechezewa na mtu asubuhi imejiblock inadai patern
  2. Miss Ritah

    Zitto: Akiba ya fedha za kigeni yazidi kuporomoka , uwezo wetu wa kuagiza bidhaa wakati wa dharura wadidimia

    Uchumi wa aina gani tunaoambiwa eti unakua kwa kasi...hii awamu ina vioja na viroja kwelikweli....
  3. Miss Ritah

    Hofu ya Zitto Kuzungumzia Mkutano wa SADC Yatambulika.

    Walimkatili sana zitto, hakutendewa haki kama CDM Kule hotelini
  4. Miss Ritah

    Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Hapo kwenye maraisi umemuacha mmoja na unamjua usijisahaulishe!
  5. Miss Ritah

    Natafuta mchumba wa kiume

    Mungu akupe wepesi
  6. Miss Ritah

    Nahitaji rafiki serious for future relationship

    Ukali was maneno reduse, kuna wadogo zenu humu
  7. Miss Ritah

    Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    Mie mgeni huku....
  8. Miss Ritah

    Kwanini watoto wakubwa hawapendi mama yao aolewe baada ya kufiwa?

    Jiulize wewe je utapenda mamaako aolewe Mara ya pili,!? Ila kimaslahi akiolewa na mwenye kipato kizuri...ntamuita baba japo atakuwa BABA WA MBOGA Kwangu, ili kujenga urafiki
  9. Miss Ritah

    Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

    Inategemea na we we mwenyewe ulivomuapproach mwanamke kwa Mara ya kwanza... Kama uliji express kuwa matawi ya twiga, ndio unavuna hicho ulichokipanda kwake ili kuepuka aibu!
  10. Miss Ritah

    Geita: Ajiua kwa kujinyonga baada ya kumuua mwanaye kwa kumnyonga

    Maisha haya MTU anajinyonga kweli....watu wana uthubutu
  11. Miss Ritah

    Mzee wa upako yupo wapi?

    Dunia inabadilika kwa kasi... Kasi imemshida, abadili teknik....hata ng' ombe wake wameelimika...nowdayz
  12. Miss Ritah

    Arusha: Tetemeko la ardhi latokea. Hakuna madhara yaliyoripotiwa

    Kwa uzoefu wako linaweza kuwa la ukubwa gani kwa kipimo cha Rishta......
  13. Miss Ritah

    Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Hizo ni tafiti zako, I can't argue!....
  14. Miss Ritah

    Tanzania ikiingizwa kwenye Union ya USA leo, Jimbo la 51!

    Nilidhani ni kiwango cha demokrasia tu kinachoshuka nchini, kiwango cha raia kufikiri kinashuka kwa kasi zaidi! Hili ni janga!
  15. Miss Ritah

    Marekani: Kaka na Dada wameshinda shauri la mahakama kuhusu kufunga ndoa

    Binamu nyama ya hamu, dunia imevaa bikini, hakuna cha ajabu hapa...
  16. Miss Ritah

    Combination na Ephraim Kibonde, Gadner Habash na George Bantu, tayari imeyumba

    Pengo LA huyu kiumbe kuliziba... It will take time...
  17. Miss Ritah

    Tribute To Ephraim Kibonde: Ni Mtangazaji Multi Talented, Entertainer, Comedian na Politician wa Kiaina. He Was Great!, Pengo Lake Halitazibika!.

    Msiba huu ulinigusa mno, sitamsahau huyu nguli/ gwiji, kwenye Jahazi....kwa zile comedy zake, hata kama mmekosana na mtu umekasirika utacheka tu!...lala Pema Kibs
  18. Miss Ritah

    A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

    I dedicate this song for you heaven.... "Candle in the wind" Sir, Elton John
  19. Miss Ritah

    A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

    I dedicate this song for you heaven.... "Candle in the wind" Sir, Elton John
Back
Top Bottom