Search results

  1. N

    Mafanikio ya nguvu ya umma haya hapa

    Sina shaka wengi wetu tumeanza kuona dalili za serikali kuanza kuamka kutoka usingizini. Kwanza ilianza na kuwaweka mawaziri wachapakazi kwenye wizara muhimu k.m. Magufuri, Mwekyembe n.k. Mtakumbuka kuwa awamu ya kwanza magufuri aliwekwa wizara ya kitoeo. Pia huko nyuma Rais kwa kujiamini kabisa...
  2. N

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu na watu wake mimi nadhani ina manufaa zaidi kwa waislamu kuitaka serikali iwasomeshe waisilamu zaidi kuliko kuomba mahakama ya kadhi. Vilevile ni vizuri waislamu waliosoma wakatumia vipaji vyao kuwasaidia waislamu wengine kusoma zaidi. Kwa maoni yangu ni...
  3. N

    Kama TANESCO kuna uchafu hivi mashirika mengine yakoje?

    Wana jamii forum nimekuwa nijiuliza maswali yafuatayo na mstakabali mzima wa maendeleo yetu ya nchi. Ukweli ni kwamba kama mashirika ya umma yana ufisadi mkubwa kiasi hiki uchumi wa nchi unaangamia sana. Kama TANESCO ambayo madudu yake ni rahisi kuonekana kwa vile madudu yake yanaleta mgao...
  4. N

    Sifa ya kuwa board chairman au board member wa mashirika ya umma ni ipi?

    Mtakubalina nami kwamba bodi ya wakurugenzi ina mchango mkubwa sana kwenye uendeshaji wa shirika lolote lile pamoja na mashirika yetu ya umma. Ukiangalia mashirika yote yanayofanya vizuri yana bodi zenye ujuzi. Mtu mmoja aliniambia Air Rwanda board chairman wake alikuwa Mwendeshaji mkuu wa...
  5. N

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Hivi kuna mtu anajua profile ya Amani Mwenegoha ambaye amepangiwa Bukombe
  6. N

    Tanzania inahitaji katiba mpya sasa

    Baada ya uchaguzi Mkuu naamini kitu muhimu kinachotakiwa kufanywa na Watanzania ni kudai katiba mpya bila kujali nani ameshinda. Itakuwa ni ndoto kushindana na Kenya kimaendeleo na KATIBA ambayo haituhakikishii ,matumizi Dora ya rasilimali za umaa na uwajibikaji.
Back
Top Bottom