Search results

  1. H

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Kuna ujanja unafanyika... huwezi kuwa na kampuni mbili moja unaita The Tanganyika... na nyingine Tanganyika ... na ziwe za mtu mmoja. Kuna ujanja mefanyika kwenye kuweka taarifa. Sujui ndio upigaji unaanzia hapo?
  2. H

    Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Kamfungulie UTT ... hiyo hela itakua kwa rate nzuri kuliko kwenye bank akaunti. Au kaweke kwenye bonds au nunua shares.
  3. H

    Maandamano ya CHADEMA yamekosa umuhimu, mvuto na ushawishi

    Inaelekea unakurupuka, hata hufuatilii haya masuala. Walisema ni mpaka April kupisha mfungo wa Kwaresma na Ramadhan.
  4. H

    Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Wanamsubiri mwenezi aende kutatua tatizo...
  5. H

    VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Ukifuata maelekezo utaelewa... maelezo ya hicho kifurushi ulichonunua yanasemaje? Huwa unapewa dk za kutumia muda wote na dk za ziada kana bonus za kutumia muda huo saa sita usiku mpaka asubuhi... Sasa wewe unaonekana umeshamaliza dk zako za kawaida umebakisha hizo za usiku. Hakuna wizi hapo...
  6. H

    Kinana: Wasimamizi wa Uchaguzi watakuwa Waadilifu na Waaminifu mnataka nini tena?

    Kama Kinana anaona kusema tuu watakuwa waadilifu na waaminifu inatosha, basi Wawahachie wapinzani wawachangue hao wasimamizi waadilifu na waaminifu... CCM wao wasubiri tuu kwamba wapinzani watachangua watu waadilifu na waaminifu. Sijui kama watakuwa tayari kwa hili. Kama hawatakibali basi ajue...
  7. H

    Kinana aitaka chadema kuthamini nia njema ya rais samia katika maridhiano

    Nadhani itakuwa bora hawa makamu wa wenyeviti wakafanya mdahalo live... tueleweshwe ni yapi yalijadiliwa kwenye hayo mazungumzo ya maridhiano na yapi yalikubaliwa na yapi yalikataliwa. Kinana vs Lissu njooni kwenye live mjadala mtuelimishe wananchi
  8. H

    Jambo kubwa Sana limepitishwa bungeni kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi wameuchuna, hawashangilii!

    Ni wananchi gani hao wanaofuatilia hata hilo bunge? Wananchi wako bize na Afcon huko... ya bungeni hata hawajishughulishi nayo...
  9. H

    Tunachowaomba Rais Samia, Mzee Kinana na Dr Nchimbi 2025 watuletee Wabunge wenye Uwezo hawa wa Shujaa Wamedoda!

    Wabunge wa sasa ndiyo CCM inavyotaka ili mambo yao yawe yanapitwa bila kupingwa. Hawa wabunge hawako hivyo kwa bahati mbaya... lah.. imepangwa iwe hivyo... sidhani kama Samia hawafurahishwi na hili bunge... kwake nadhani ndio murua maana kila kitu cha serikali yake kitapita bila shida...
  10. H

    Mnapata wapi ujasiri na akili ya kulinganisha maendeleo yaliyoletwa kupitia CCM kulinganisha na nchi za Ulaya?

    Hii definition ya demokrasia kuwa ni tofauti kulingana na maeneo fulani ni hoja ya hovyoo sana yenye lengo la kuficha madhambi na kutotenda haki. Kama demokrasia yetu ni tofauti, badi tuelezwe wazi hii yetu ni ya namna gani?? Ili tuelewe na kutolinganisha na wengine. Shida yeti kubwa ni...
  11. H

    Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

    Wenzio hawaoni kama ni drama... wanaona anafanya matendo yaliyotukuka kuwatumikia wananchi. Imefikia hata wengine kuona eti anafaa kuwa PM au hata Rais kwa sababu eti ana uthubutu wa kuwahoji vingozi hata mawaziri hadharani. Anyway time will tell...
  12. H

    Ukiambiwa upunguze jambo au uongeze jambo kwenye katiba yetu utachagua lipi?

    Kuharibu uchaguzi wowote au kuharibu kura kwa namna yoyote iwe ni kosa la uhaini... maana ni sawa na kupindua uongozi halali na kuweka viongozi mamluki. Na pia kuwe na full transparency kwenye mchakato wote wa uchaguzi, kura ya mtu tuu ndio iwe siri.
  13. H

    Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Huu utetezi ndio wa hovyo kabisa kupata kutokea.... kuwatoa watu kwenye idara zao za kazi kwenda kwenye mkutano wa mwenezi ni matumizi mabaya ya resources. Huku ni kukosa maarifa. Juzi nilijiuliza meneja wa mkoa wa Tanesco anatafuta nini kwenye mikutano ya chama???? Sikupata jibu zaidi kuona...
  14. H

    Kiongozi yupi huwa akitoa hotuba zake zina tija?

    Kuna watu nikisikia wameongea huwa lazima notafute walichokisema... 1. Mbowe 2. Lissu 3. Heche 4. Mpina 5. Samia... kwa nafasi yake but contents zinapwaya
  15. H

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Naunga mkono hoja... sijui huo uwezo wa huyu mwenezi wanauona kwenye nini hasa ukiacha hizo siasa za majukwaani. Hana vision ya leadership ni mtoa taarifa tuu.. sioni weledi wake kwenye nafasi za juu za uongozi. Wabongo tukue kimaarifa na kujua nani anafaa kuwa kuongozi na kwa vigezo vipi?
  16. H

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Mkiambiwa CCM wameishiwa maarifa ndio haya matokeo yake. Sehemu ambazo uongozi wote ni wa CCM tokea wenyeviti wa mtaa mpaka wabunge.... eti bado wanategemea mwenezi ndio apite kusikiliza kero za wananchi. Tuna safari ndefu sana mpaka kufikia nchi ya asali... tunaweza watu kwenye uongozi kwa...
  17. H

    Uwezekano wa vifurushi TV na simu kufanana?

    Walete PPV... hii itasaidia kupunguza machannel ya hovyo wanayotulundikia maana hayata uzika kabisa. Tena hii itawafanya wawekeze zaidi kwenye content creation.
  18. H

    CHADEMA kwanini mnaandamana kwenda Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN)?

    Kwenda Ofisi za UN nadhani ni symbolic... kuwa unapaza sauti duniani wajue. Haina maana kuwa unakwenda kuishitaki serikali ili UN ichukue hatua dhidi ya serikali. Ni jinsi ya kudemonstrate kwa upana kuwa kuna shida ndani ya Taifa linalohitaji suluhu.
  19. H

    CHADEMA kwanini mnaandamana kwenda Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN)?

    Nyumbu wangekuwa hawajui wanakoenda kuna siku ungekuta kwa mfano wale wa serengiti wametokezea Dodoma... si hawajui wanakoenda... so inawezekana. Lakini kwa taarifa yako wana pattern inayoeleweka kabisa ni msimu gani wanaenda wapi. Huwezi Sema hawajui wanakoenda. Na huwa wako na dhamira halisi...
Back
Top Bottom