Search results

  1. K

    Unampeda mtu siku ya mwisho anafunga pingu za maisha na rafiki yako bila we kujua

    unakuta mtu unaempeda sana na unamtegemea katika maisha yako awe mkeo,alafu unasikia kafunga pingu za maisha na rafiki yako wa karibu sana. utafanya nini na unakuta alikupromic kua mtaoana?
  2. K

    Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

    Jaman huyu jamaa ni rafiki yangu wa karibu umri wak ni miaka 26. Alinishangaza aliponambia jana kua analala chumba kimoja na mama yake,nilikosa cha kumwambia kwasababu niliona ni maajabu. Jamani nipeni ushauri nimshaulije mwenzangu aweze kuhama? au unahis kuna nini hapo?
  3. K

    Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.

    Cha kufnya we mwambie ukwl sster kua umezimika kw rafk yk ile awez kukupa nafac ya kuongea nae,maana awez kujua unaleng gan km ujaw waz.datc al ma frnd.
  4. K

    Mkeo ana hamu au la...:mnuse utajua okoa ndoa yako

    Mhh!kwakweli ukifikia hatua ya kumnusa naisi na wewe unakua na hamu,na kama una hamu uwezi kumacha lazima kieleweke,akigoma si unamaindi?
  5. K

    Kwanini baadhi ya wanaume tunadanganya katika mapenzi?

    ni kwanini wanaume bahadhi tunadanganywa kimapenzi?
Back
Top Bottom