Search results

  1. Makini

    SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Naona saivi wameweka angalau magoli na timu zinazocheza.
  2. Makini

    SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Ninaangalia mpira ITV muda huu, ila wanachokionesha hakiridhishi kwa kweli. Hawarudii matukio muhimu na hatujui mpira ni dakika ya ngapi wala mabao ni ngapi kwa ngapi? ITV kuweni makini jamani. Hebu wekeni stats za mpira hapo, angalau tujue ni timu gani zinacheza, ni dakika ya ngapi na magoli...
  3. Makini

    Hiki kitendo cha clouds Fm kufanya matangazo karibia dk 20 hadi 25 ki ukweli kinaboa

    Hii hoja sidhani kama inahusiana kwa namna yoyote na matangazo yanayosemwa na mleta mada, umekuwa rude kwa mtu sijui kwa sababu gani.
  4. Makini

    Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

    Hapo ni mmoja, viungo vingine ni vya bandia, kama hiyo miguu na kichwa. Yeye atakuwa kajikunjia hapo katikati kwenye hilo lililofungwa
  5. Makini

    Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

    Mkuu, yaani ni rahisi sana kuliko unavyofikiria, mimi pia nilidhani wanatumia supernatural powers kumbe hakuna kitu. Ni timing, choreography na sayansi ya hali ya juu. Tafuta series inatwa Breaking the Magician's Code: Magic's Biggest Secrets Finally Revealed, hapo utapata majibu ya maswali...
  6. Makini

    Video: Maxence Melo awashukuru wote walioshiriki na hana tatizo na yeyote

    Yani umesema vizuri sana mkuu. He is a hero
  7. Makini

    Video: Maxence Melo awashukuru wote walioshiriki na hana tatizo na yeyote

    I am so grateful this happened, hakuna kitu kinachomletea mtu heshima kama kusimamia anachokiamini. Sasa tunajua kuwa taarifa zetu zinalindwa. #Maxyouareahero
  8. Makini

    Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

    Kuna dozi flani inaitwa PEP unaweza kuitumia kabla ya saa 72 kuisha toka ulipofanya mapenzi. Kama yameshapita nadhani waweza jaribu vilevile. Ila chances ni ndogo sana kuambukizwa kama ulitumia condom.
  9. Makini

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    pitia HAPA ndugu, utapata info yote unayohitaji nadhani. Hiyo unayoiulizia bila shaka itakuwa PSS G 7 ambayo ni Sh 1,452,000
  10. Makini

    Serikali yaonya Shule binafsi kuhusu michango

    Serikali imeonya wadau wa elimu wanaoendelea kutoza ada ya kujiandikisha na michango mingine kuacha mara moja kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Naibu waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Eng. Stella Manyanya, amesema wakuu wote wa Wilaya na Wakurugenzi...
  11. Makini

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Mi enzi hizo ITV, kuna mdada anaitwa Consolata Godfrey, alikuwa ripota. Yani nlikuwa napenda sana alivyokuwa anasign out- Consolata Godfrey, I T V, kama anavuta flani hivi, so nice. Wengine ni ABD na Rose Chitala, walikuwa na kipindi chao, yani matani meeengi. Hadi wanabadilishana majina...
  12. Makini

    Waziri wa Kilimo aagiza maofisa wa wizara yake kutatua malalamiko ya wananchi

    Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi, Mwigulu Nchemba, amewapa muda wa wiki moja maafisa wa wizara yake kuorodhesha mambo muhimu yanayotakiwa kupewa kipaumbele katika jamii na kupendekeza masuluhisho. Nchemba amesema Watanzania wana mategemeo makubwa na serikali ya awamu ya tano na ni lazima...
  13. Makini

    Teknolojia mpya inayowezesha simu ya mkononi kutumika kupima Malaria yagundulika

    Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Texas A&M wamegundua kifaa kinachoweza kutumika kupima Malaria katika simu ya kiganjani. Kifaa hicho (add-on) kinapoambatanishwa kwenye simu ya mkononi, hutumia kamera ya simu (smartphone) kutoa picha ndogo kwa ubora (hutoa picha ndogo sana, zenye udogo mara kumi...
  14. Makini

    Magufulism and a new Tanzania

    I came across this article somewhere. According to the writer, who has come up with new vocabulary from the name Magufuli, such as Magufulism and Magufulist, urges all Tanzanians to support the new president in curbing corruption, laziness and all their associates. In other words, he is...
  15. Makini

    Kazi ya mama na kuku zake Daily

    Very funny indeed, nimecheka sana. Lakini mkuu Kitalolo. umewezeje kuandika wakati imekuua?
  16. Makini

    Nyati nane wamekufa baada ya kugongwa na fuso

    Mh, mi mbona kama siamini vile? Naona kama vile hawajagongwa ila wameuliwa, naweza kuwa siko sahihi. Hivi hawa ni kati ya wanyama wanaosakwa kwa sababu za kiuchumi kama tembo?
  17. Makini

    Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

    Dah! Huu usomaji namba si wa kawaida. Ila kama na hawa wanadaiwa mbona ni aibu
  18. Makini

    Kambi za matibabu ya moyo kuokoa shilingi Bil 1

    Serikali imetenga shilingi billion 5 itakayotumika kuboresha kambi za madaktari bingwa wa moyo ili kurahisisha upatikanaji wa huduma na matibabu kwa wagonjwa wengi wa moyo kwa wakati mmoja na kwa muda mfupi. Hatua hii inafuatia agizo la rais Magufuli kufuta safari za nje zinazotumia pesa...
  19. Makini

    Wabunge wa Kenya ziarani kujifunza Mapishi!

    #whatwouldmagufulido
  20. Makini

    Rais aagiza mechi iende penati dakika ya 63 baada ya 'kuboreka'

    Hahaha, sidhani kama atashindwa mkuu. Awe tu anapita huku aone ombi lako.
Back
Top Bottom